USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Hii ni currency na sio maneno ndio maana watu wapo na tahadhari.
PESA ni uthibitisho wa namba tu haina uhusiano wowote na thamani, naweza nkanunua shati buku 2 na kutokana na maongezi yetu ya biashara nkakuuzia ilo shati 50k na ukaona kama thamani znaendana!
 
Sasa hapa ndio umejibu nini?
 
PESA ni uthibitisho wa namba tu haina uhusiano wowote na thamani, naweza nkanunua shati buku 2 na kutokana na maongezi yetu ya biashara nkakuuzia ilo shati 50k na ukaona kama thamani znaendana!
Price haiamuliwi kwa maneno Bali Sheria za Uchumi demand and supply na uwezo wa Wananchi kuwa na disposable income ya kutosha.

Thamani inategemea na inavyocirculate.
Ndio maana nchi imepiga marufuku matumizi ya pesa za kigeni
 
Hapana! Price inaamuliwa na Benki kuu haina uhusiano na demand wala supply! thamani ya wewe kupata dola 1 inaamuliwa na Mamlaka husika kutokana na kanuni wanazotaka zifuatwe, inaweza kupandishwa ama kushushwa mda wowote mfano mzuri ni last month price ilitoka 2800 mpaka 2100 ndan ya masaa kadhaa
 
nlivokuelezea imetosha, kama hujaelewa nadhan baki ivo ivo
Wewe endelea kubet nadhani ndio kazi unayo ijua.
Hata huko kwenye forex endelea kutafuta watu walizubaa Ili uwapige ila nadhani unahitaji elimu zaidi
 
Na dollar ya Marekani ilianguka kutoka wapi hadi wapi?
 
Taifa la wapuuzi na mazoba ,ushabiki wa simba na yanga siku nzima huku maisha yanazidi kuwa magumu kutokana na hawa mbwa vibaka waliohijack uongozi wa hii nchi kwa miaka zaidi ya sitini
 
Wewe endelea kubet nadhani ndio kazi unayo ijua.
Hata huko kwenye forex endelea kutafuta watu walizubaa Ili uwapige ila nadhani unahitaji elimu zaidi
kama nlivokwambia before mm slazimishi mtu kuelewa na nshaelezea vya kutosha! kwakua hutak kuelewa basi baki ivo ivo kila mwaka utalia sana na things wont make sense
 
Taifa la wapuuzi na mazoba ,ushabiki wa simba na yanga siku nzima huku maisha yanazidi kuwa magumu kutokana na hawa mbwa vibaka waliohijack uongozi wa hii nchi kwa miaka zaidi ya sitini
nenda nchi inaokufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…