USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Kwetu bado sana, mitandao ya simu haipo serious. Siku hizi mara nyingi tu ikifika usiku saa 4 au saa 6 huduma za miamala hazipatikani
 
MJADALA ULISABABISHA NIANZE KUFUATILIA UIMARA WA DOLLAR DHIDI YA HELA ZINGINE..
NIKABAINI KUMBE NA DOLLAR YA KIMAREKANI INAPIGA MAGOTI KWA DINARI YA KUWAITI Mfano leo 1$=0.31 kuwaiti dinar, lakini yawezekana maisha ya marekani ni mazuri kuliko kuwaiti..

KUNA UMHIMU WA KUANDAA UTAFITI MKUBWA KWENYE HILI SWALA hususani "how exchange rate affects inflation"
 
Hakuna pesa ambayo iko stable anza kuzalishaa sio kua mlopokajiii ndo nyie wachina wakija kua wachuuzi kariakoo mnaliaa.. 😂😂
 
maisha mazuri yapi mkuu..
 
Kuna sehemu nimeona umerudia mara nyingi sana kuwa Kuna nchi masikini sana hapa Africa ambazo pesa yao Ina thamani kuliko dollar, mkuu naomba unitajie hizo nchi nitashukuru sana kuzijua
mbna nmezitaja sana mfano nmetoa libya na nkaweka na screenshot, however nmetumia floating rates za biashara
 
Hapo ndio ulikua unamaanisha pesa ya Libya Ina thamani kubwa kuliko dollar? Mkuu unafahamu vyema hesabu?
yes rate ya 0.3 maaana yake pesa yako ina thamani, na ukiangalia rate yake in the last 10 years ilishawahi kuvuka kabisa na kuipita dollar, ukichukua hio 0.18 maaana yake mtu wa libya anaongeza pesa kidogo sana kuipata $1, kwa mfano ingekua kwa tanzania Tsh 1 ni sawa na 0.18 kama libya maaana yake pesa yetu ina thamani sana kwa sababu katika mzunguko hio Tsh 1 kwetu ni useles na imeshapotea kwenye mzunguko, meaning kila ela ninaoshika ndan ya sku ina thaman kuliko dola
 
ulishawahi kuona president yoyote wa tanzania kaenda world bank kuomba mkopo wa Tsh? then mbna unauliza swal la hovyo wakati unajua kabisa mikopo yote ya nchi inatakiwa kulipa kwa dola?

hakuna cha njia nyingi mkopo unapewa dollar huezi pewa mkopo wa Tsh unless ni mkopo wa ndan, mfano NSSF, BONDS..
 
Mkuu huenda huelewi ulichosema,wewe umesema pesa ya Libya Ina thamani kuliko dollar. Hiko kitu si Cha kweli
 
🤣 🤣 🤣 kama hujaelewa apo basi huezi kuelewa uchumi at all na ata nkiksema apa rates ni manual hutaelewa ila nmeshakufafanulia kwa juu apo
 
Mkuu huenda huelewi ulichosema,wewe umesema pesa ya Libya Ina thamani kuliko dollar. Hiko kitu si Cha kweli
🤣 🤣 twende taratibu utaelewa! ngoja nkupe mfano ambao ni wa karibu, kati ya tanzania na rwanda nchi gan ina uchumi mkubwa?
 
Haina athari yoyote kiuchumi, huku Maswa bei ya mchele, maharage,unga ni ile ile, hatuhitaji hayo madola yenu
Mkuu! Kuna interaction fulani huwezi kuiona kirahisi ila ni kubwa kuliko unavyofikiria.
 
ulishawahi kuona president yoyote wa tanzania kaenda world bank kuomba mkopo wa Tsh? then mbna unauliza swal la hovyo wakati unajua kabisa mikopo yote ya nchi inatakiwa kulipa kwa dola?
Mkuu una tatizo la kutojua kusoma unachoweza andika?
Ulisema tunapata dollar kupitia kuuza nje na watalii na si zaidi ya hapo. Mimi ndio nimekuja kukuambia kwani mikopo tunayokopa tunaipata kwa shilingi? Nilimaanisha kuwa mikopo tunayochukua pia inatuingizia dollar

Hapo hujaelewa wapi?
 
🤣 🤣 twende taratibu utaelewa! ngoja nkupe mfano ambao ni wa karibu, kati ya tanzania na rwanda nchi gan ina uchumi mkubwa?
Mkuu nilijibu comment yako ambayo ulisema pesa ya Libya Ina thamani kuliko dollar, nilijibu na kukuambia kuwa sio kweli.

Hili la uchumi upi mkubwa hakuna nilipojibu
 
yes unapata dollar ila sio cash kwa kitaalam inaitwa (NEGATIVE ASSET) you can spend it only, ni kama kumuuzia mtu deni
 
inflation haina uhusiano na exchange rates! these exchange rates are moved manually sometimes BOT will raise USD or make it fall, kwa wewe exchange rates haina uhusiano wowote na maisha yako kua magumu ama marahisi! ni elimu tu huna
Mzee wa BOT umezaliwa pale nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…