lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Hawajibu swali, deni la mwaka 2020 kama dollar ilikua 2500 kwa shilling,leo dollar ikiwa elfu 3000,haina maana kua deni limezidi kwa 500???si lazima tuwe na shillings nyingi kununua dollar kulipa deni hilo??hizo shillings tunatoa wapi?after time haiwezi leta mdororo wa uchumi???Sorry Nime wrong quote
Hata kwa mtu wa kawaida lazima athari iwepo... Bei za bidhaa huku kwetu lazima zipande, hata kama huko china zitabaki vilevile.Bila shaka! dola kupanda athari yake ni kwa mtu anaefanya biashara za kimataifa kwa upande wa KUNUNUA, itabidi atoe TSH nyingi apate dola chache lakini uzuri ni kwamba wengi wanaofanya biashara za nchi na nchi wana ukwasi mkubwa kwahio wanaweza kwenye hio bishara wakafidia kupata faida nzuri, mfano ukienda kununua kitu china ukiwa na mil 10, itakubidi ukija kufanya biashara upate zaidi ya mil 10, which ni kitu cha kawaida kwa biashara chochote hata ambayo hawafanyi exchange rates
hakuna athari yoyote! exchange rates ni manual figures znapandishwa na kushushwa MANUALLY! unaweza kujifunza zaidi kupitiaHata kwa mtu wa kawaida lazima athari iwepo... Bei za bidhaa huku kwetu lazima zipande, hata kama huko china zitabaki vilevile.
jipige bichwa icho useme wewe ni ngombe asie na jinsia 🤣🤣: nchi zooooote duniani zna kitu kinaitwa FOREIGN RESERVES, wengie hutumia GOLD wengine hutumia dola, nchi pekee ambazo hazitumii dola ni afghanistan, cuba, russia and china wameanza kuuza dollar wapewe dhahabu wengine wote reserves zetu ni dolla, ikimaanisha kwamba tukiuza mazao nje tunapokea dola na ndo hio hio dola itatumika kulipa madeni ama ndo hio hio mwananchi wa kawaida attapewa! dollar ni pesa halali ya marekani hakuna sehem unaenda kuichukua kama unavuna na FEDERAL RESERVE hawapokei TSHAkili huna . Kichwani matope na uchawa
Unafanya vipi biashara ya dollar bila kutoa shillings . Ukitoa shillings na dollar unalipa deni . You remain with no dollars . Una print more shillings .
Akili matope ndo maana ni Chawa
we jamaa ni ngombe, you cant pay International DEPT na TSH, hata kenya wenyewe hawakubali kupokea TSH alafu mm sio dogoAkili huna .
Level of your education !?? Unaweza ongea kumbe na la saba au failures wa diploma .
Weak shillings means more money for Sam dollars . Which you need to exchange to pay the national debt .
Causing more inflation ni Kama kichaa wewe Elimu ya mkoroshini
nmekujibu nmekwambia DENI, yaani usichukulie ela kama kakitu flan ivi kakubwa yaani pesa ni namba tu sisi ndo tunazipa thamani izo namba leo hio serikali ikisema kuanzia saahv mtakua mnatumia toilet paper kama ela basi ivo ivo ztapanda thaman, same way pesa za nyerere saahv ukipewa unaona hazina issue, chukulia pesa kama namba tu usichukulie kama lidude flan likubwaUnakwepa swali??mfano kama nchi kwa mwaka tunaingiza usd 10 kwa mwaka, na importers wanahitaji 50usd kwa mwaka kuagiza,.hiyo 40 inapatikana vipi??nieleze taratibu me mweupe sana hapa..
Na deni serikali wanalipa vipi??dollars wananunua??
labda nkuulize swali, ikitokea Tsh ina thamani kuliko Dollar unadhan nn kitatokea kwenye uchumi wa nchi na nkutajie nchi maskini zenye ela yenye thaman kuliko dollarHata kwa mtu wa kawaida lazima athari iwepo... Bei za bidhaa huku kwetu lazima zipande, hata kama huko china zitabaki vilevile.
Huko kimvulini viwanja vinauzwa mpaka usd laki tano na vikitangazwa vinaisha faster pana sehemu upo mlima kutoka Airport heka hapo si kitoto ila wenye nguvu ndio wananunua huko sio wauza madini kama tulivyozoea...Ajabu anashangaa 2705 wakati imeshafika huko na ndio inapoelekea kwa sasa, si anaona wanatiambia tusitumie dola huku mange kaleta ushahidi wateule wa raisi wamenunua viwanja kwa dola karibia laki nne aise
Wewe kichaa una devalue ukiwa na viwanda with high export .hakuna athari yoyote! exchange rates ni manual figures znapandishwa na kushushwa MANUALLY! unaweza kujifunza zaidi kupitia
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZioqjX3obZQ&pp=ygUkd2h5IGNvdW50cmllcyBkZXZhbHVlIHRoZWlyIGN1cnJlbmN5
Naomba umjibu ili nipate faidalabda nkuulize swali, ikitokea Tsh ina thamani kuliko Dollar unadhan nn kitatokea kwenye uchumi wa nchi na nkutajie nchi maskini zenye ela yenye thaman kuliko dollar
Akili huna .labda nkuulize swali, ikitokea Tsh ina thamani kuliko Dollar unadhan nn kitatokea kwenye uchumi wa nchi na nkutajie nchi maskini zenye ela yenye thaman kuliko dollar
Aisee Chawa na Ukichaa ni sawa .nmekujibu nmekwambia DENI, yaani usichukulie ela kama kakitu flan ivi kakubwa yaani pesa ni namba tu sisi ndo tunazipa thamani izo namba leo hio serikali ikisema kuanzia saahv mtakua mnatumia toilet paper kama ela basi ivo ivo ztapanda thaman, same way pesa za nyerere saahv ukipewa unaona hazina issue, chukulia pesa kama namba tu usichukulie kama lidude flan likubwa
🤣 🤣 it doesnt matter exchange rates ni figure tu, they are manually CHANGED ata ukitaka 1 TSH = 1000 USD unaweza kufanya ivo but it has consequences, its better 1$ iwe 10m TshWewe kichaa una devalue ukiwa na viwanda with high export .
Wewe Jamaa tukupime akili
the answer is NOTHING, hata ikitotkea TSh ina thaman kuliko dollar haimaniishi uchumi wetu umekua, mfano wa izo nchi ni kama libya ela yako ina thaman kuliko dollar but GDP ya dar ni sawa na libya nzima, here is an exampleNaomba umjibu ili nipate faida
Uchumi wa kisiasaa ,uchumi hauitaji mapambio na mashangalio ,unahitaji AkiliiiI will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
we ni bure kabisa huna akiliAkili huna .
Means we will pay out debt cheaply
We produce nothing . Imports will be cheaper .
Wewe akili yako ya matope . U think it will change anything . We set the economic policy and this will work well