Kulia haulii kucheka hauchek ni balaa halafu unatafuta Dollar yenyewe haipatikan😓Hili suala lisikie Kwa jiran kupanda Kwa dola ni maumivu makali Kama unaitegemea katika harakati zako za kila siku halafu iwe dili zako zote zinakuja Kwa tsh then wew ili uchakate mishe unahitaji USD nyie nyie....
jamaa kakuelezea vizuri apo kabisa ila unakomaa na uongoUnamaanisha nini?
Hakuna athari kubwa.Huo upumbavu kwenye kuagiza ndio hali tuliyo nayo kwa sasa, Sasa nikuulize kupandia kwa dollar hakuna athari kwetu?
Sekta zipo, kama chakula ambacho hatuagizi popoteHii nchi hatuna hata sector moja tutakayobsema Ina full and complete supply chain.
Kafi ya vitu vinavyonikera nchi hii, ni kuruhusu kuagiza kila kitu.Machinga ni matokeo ya sera za kufanya watu wote wawe wachuuzi a.k.a ujasiliamali.
Mafuta, na deni la nje hakuna kitu kingine cha muhimu sana.Nje ya mafuta, hakuna vitu vingine muhimu tunavyohitaji?
Pesa ya TZ inategemea market forcesTunaizungumzia Tanzania, tuna hiyo fixed amount tuliyoiset, kama hakuna naomba hujibu hoja kwa hali halisi ya Sasa
Uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.Nadhani bila kuuma maneno ni Kenya na walitupita mwaka 1995 yaani wametuzidi kote kwenye PPP na per Capita hasa moja ya sababu ni kushusha thamani ya pesa yetu
haijalishi umepiga au umetumia ovyo ushakopa Ela, Nchi inakuwa Subservient TUU wakishatoa Mkopo.. ndio kazi ya EHM,Kudaiwa siyo tatizo.
Shida ni Kupiga au kuwekeza ovyo pesa za mikopo.
hata Tsh leo ikiwa kubwa kuliko dola, haina athari kwako! haina faida wala hasara kwako, exchange rates ni muongozo wa biashara za kibepari kutoka nchi husika and those rates are manual, haihusiani sjui ukiwa na uchumi mzuri ndo tsh inaipita dollar, elewa kwamba these rates are manually CONFIGUREDHuo upumbavu kwenye kuagiza ndio hali tuliyo nayo kwa sasa, Sasa nikuulize kupandia kwa dollar hakuna athari kwetu?
Hii nchi hatuna hata sector moja tutakayobsema Ina full and complete supply chain.
Machinga ni matokeo ya sera za kufanya watu wote wawe wachuuzi a.k.a ujasiliamali.
Nje ya mafuta, hakuna vitu vingine muhimu tunavyohitaji?
Tunaizungumzia Tanzania, tuna hiyo fixed amount tuliyoiset, kama hakuna naomba hujibu hoja kwa hali halisi ya Sasa
Nadhani bila kuuma maneno ni Kenya na walitupita mwaka 1995 yaani wametuzidi kote kwenye PPP na per Capita hasa moja ya sababu ni kushusha thamani ya pesa yetu
Hakuna nchi isiyodaiwa.haijalishi umepiga au umetumia ovyo ushakopa Ela, Nchi inakuwa Subservient TUU wakishatoa Mkopo.. ndio kazi ya EHM,
Kunao watu wanaitwa Economic Hitmans kazi yao ni kushawishi nchi kufanya matumizi ya ela ambao hawana wakishawishi ni faida kwa nchi yako angali ni kifungo cha Deni, Hayo madeni ndio chanzo cha Us millitary base kujengwa Huku Africa Sababu nchi iko subservient kwakeKudaiwa siyo tatizo.
Shida ni Kupiga au kuwekeza ovyo pesa za mikopo.
US ana military nchi mbili 2 Africa, Kenya na Djibouti.Kunao watu wanaitwa Economic Hitmans kazi yao ni kushawishi nchi kufanya matumizi ya ela ambao hawana wakishawishi ni faida kwa nchi yako angali ni kifungo cha Deni, Hayo madeni ndio chanzo cha Us millitary base kujengwa Huku Africa Sababu nchi iko subservient kwake
sio mbaya kupokea mkopo ila anaekupa mkopo ndio alikuekea mindset ya kufanya consumption na pia hata construction za infrastucture zinazofanywa kwa Ela Ya USD mara nyingi company hizo hizo za USA ndio wanaojengaa Hioo miradi Na USA hawatufanyi Imports nyingi tofauti na Medicine kwaio hata kama wangefanyia Maendeleo hizo ela za mikopo bado Tuuu wangekuwa na upper hand kwetuHakuna nchi isiyodaiwa.
Wati wanatumia OPM (other people's money)
Lakini pia budget zetu hazitoahi, unakopa kujazia.
Mfano, SGR ni Trillions karibu 25.
Huwezi kutumia kodi kujenga mradi kama huo.
Ndugu, hachana na haya makanjana sijui wa BOT, hii kitu imefikia 2,740 kwenye maduka ya kubadilishia fedha. Ndio madhara ya kuongozwa na PSI will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
Chawa akili huna kabisa . Hupo humu kuposha watu. .US ana military nchi mbili 2 Africa, Kenya na Djibouti.
Na siyo kwasababu ya madeni
Bro common sense kwann uweke millitary base kenya? kwenu marekani kama Huimiliki serekali ya Kenya?US ana military nchi mbili 2 Africa, Kenya na Djibouti.
Na siyo kwasababu ya madeni
Mkopo unalipa na dollar huna 😂😂😂😂.Hakuna nchi isiyodaiwa.
Wati wanatumia OPM (other people's money)
Lakini pia budget zetu hazitoahi, unakopa kujazia.
Mfano, SGR ni Trillions karibu 25.
Huwezi kutumia kodi kujenga mradi kama huo.
Your stupid mzee . Hata dollar ume wai kushika kweli . Maana ujui kitu kabisa mweupehata Tsh leo ikiwa kubwa kuliko dola, haina athari kwako! haina faida wala hasara kwako, exchange rates ni muongozo wa biashara za kibepari kutoka nchi husika and those rates are manual, haihusiani sjui ukiwa na uchumi mzuri ndo tsh inaipita dollar, elewa kwamba these rates are manually CONFIGURED
Uongo upi?jamaa kakuelezea vizuri apo kabisa ila unakomaa na uongo
Nilikuuliza kama manually, unaweza ukarate Hadi 1500 kesho?hata Tsh leo ikiwa kubwa kuliko dola, haina athari kwako! haina faida wala hasara kwako, exchange rates ni muongozo wa biashara za kibepari kutoka nchi husika and those rates are manual, haihusiani sjui ukiwa na uchumi mzuri ndo tsh inaipita dollar, elewa kwamba these rates are manually CONFIGURED
Halafu anajiona profesa wa uchumi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Your stupid mzee . Hata dollar ume wai kushika kweli . Maana ujui kitu kabisa mweupe
unapenda kua stupid alafu proud 🤣Your stupid mzee . Hata dollar ume wai kushika kweli . Maana ujui kitu kabisa mweupe
yes ni manuall, na nmeshaelezea vizuri apo juu na ukirudi nyuma utaona nmeweka screenshot nkimuelezea mtu nlifanya kazi gan BOT miaka ya nyuma!Nilikuuliza kama manually, unaweza ukarate Hadi 1500 kesho?
Tuseme shilingi imekuwa 1=1usd
Fikiria athari zake kwenye import na export trade?
Itapunguza inflation kwa bidhaa Toka nje, itabaki tarifs na Kodi zetu tu
Itakuwa Watanzania wataimport cheaply kuanzia bidhaa Hadi huduma.
Biashara ya vipuri na mafuta itapungua bei,
Unajua raia wataneemeka kwa kiasi gani?
Umesoma kweli uchumi, biashara, finance ? au mtaalamu wa kitaa 🤣🤣🤣🤣🤣