Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

Sayansi haitakuja kujua majibu ya maswali. Na ikija kuyajua itakiri kuwa kuna intelligence in creating all these! Which will directly prove that God exists.

Randomness can not create intelligence. Only intelligence creates intelligence.
Time will tell
 
Kwa hiyo msimamo wako ni upi?
Unamwamini Mungu ila hauamini kama binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu?
Kwani unaelewa nini kuhusu "Kuumbwa kwa mfano wa Mungu"?
Pengine una maana tofauti.

Lugha inayo tumika hapa ni kiswahili na ndio lugha yako, hebu linyambue neno Mfano katika sentesi hii
Treni ilitengenezwa kwa mfano wa jongoo. We umeelewa nini hapo.
 
Hakuna nilipokosea andiko. Tofauti ipo katika interpretation yako. Toa sababu ya kisayansi za kwanini kuna jinsia.

Wengi hawajaelewa topic kwa sababu hawafikirii kwanza, werevu walio wachache wameelewa sana.
nilianza kukuelewa lakn kadri unavojibu maswali ya wadau unazidi kunichangany,
 

Sayansi ni zao la dini tatizo ndani ya sayansi kuna mengi ya kufikirika. Na sayansi haiwezi ikashinda dini kwanini?
Yule alie tengeneza computer ndie aliye tengeneza soft wear na hard wear vyote hivi havina maarifa na ujuzi zaidi ya yule alive vitengeneza.
 
Sayansi haitakuja kujua majibu ya maswali. Na ikija kuyajua itakiri kuwa kuna intelligence in creating all these! Which will directly prove that God exists.

Randomness can not create intelligence. Only intelligence creates intelligence.

Wanachofanya wanasayansi sio kutaka kujua kama Mungu yupo bali maelezo yanayohusu Mungu kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hayajitoshelezi.
 

Dini haijazaa sayansi. Dini na sayansi vilikuwa kwa pamoja. Ni katika hali ya mwanadamu kutaka kuuchunguza ulimwengu na kufahamu nature.

Kutengana kumekuja arounds 1700 lakini movement ilianza miaka ya 1400 na hapo wanasayansi walikuwa wanachomwa kama stake na kuuawa kwa mamlaka ya viongozi wa kidini. Mfano mzuri na mauaji na execution ya walioamini dunia ni duara na tunazunguka jua. Hata Galileo aliitwa mbele ya Council kukana kauli.

Dini hazitaki kubadilika kuendana na tafiti anazoendelea kufanya mwanadamu. Dini nazo ni tafiti za mwanadamu za miaka ya kale. Lakini jinsi mwanadamu anavyotaka kufahamu mengi mengine anajikuta anabadili katika kuyaelewa. Dini hazitaki kubadilika kuendana na facts zinavyosema. Dini zinataka kuamini bila ushahidi wala logical arguments. Dini zinataka ukubali points zake tu bila thinking.

Kuhusu Mungu sayansi haijapinga kuwa hakuna mungu wala haijasema kuna mungu. Jinsi tunavyozidi kujifunza tutajua.

Lakini huyo mungu wa dini kuwa ana mtoto, anaitwa fulani na aliumba dunia siku sita, aliumba maisha bustanini hizo ni myths tu na hazikuanzia katika ukristu, judaism wala Islam.


Pia fahamu kuwa sio kila dini inakinzana na sayansi. Kuna dini zinakubali scientific studies na zinakataza kuamini bila logics.
 
Dini hizo hizo ziliamini dunia ni flat, mtu aliingiza aina zote za viumbe kwenye safina, mpaka virus wa jinsia zote (wakati sio kila kiumbe kina jinsia), dinosaurs, nyangumi na samaki wote wa baharini waliingia kwenye meli kubwa ya mbao. Story ya nyoka anayeongea, dunia kuwa center ya ulimwengu, mwanamke kutokea kwenye mbavu, n.k


Leo hii mnasema science ni ujinga na inapotosha.

Hivi kweli ni akili hiyo?

Leo hii tukichunguza ulimwengu mna hoja zenye logics na facts?

Tuacheni kupotoshana na kulazimishana kuelewa. Kama unaelewa hizo myths na kuzikubali its you lakini sio reasoning zenye mashiko kwa kila mtu.
 
duh!only bible ndugu mtoa mada, jamani muwemnasoma na vitabu vingine mbalimbali hata kama si cha dini yako ili muwe na uwanja mpana katika kutoa hoja
 
Kwa kifupi una support evolution.
Evolution is not a fact, its a theory.

Mtu kutunga theories na philosophies zinazovutia hakufanyi theory kuwa uhalisia.

Mtu kutunga hadithi nzuri sana hakumaanishi kuwa matukio ya kwenye hadithi yamewahi kutokea.

Evolution is still a theory, not a FACT. The main argument against EVOLUTION is the fact that We dont have the evidences for the change of a KIND.

You can not make a man out of insects.
 
Lugha inayo tumika hapa ni kiswahili na ndio lugha yako, hebu linyambue neno Mfano katika sentesi hii
Treni ilitengenezwa kwa mfano wa jongoo. We umeelewa nini hapo.
Nimeelewa kuwa wameiga jongoo kutengeneza treni.
 
Wanachofanya wanasayansi sio kutaka kujua kama Mungu yupo bali maelezo yanayohusu Mungu kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hayajitoshelezi.
Mambo mengine Mungu ameyaacha ili tuya explore.

Tatizo la wanasayansi ni kuwa kila waki explore badala ya kumuamini Mungu, wanampinga.

Wanahisi kama wamevumbua wao wenyewe bila msaada wa Mungu.
 
duh!only bible ndugu mtoa mada, jamani muwemnasoma na vitabu vingine mbalimbali hata kama si cha dini yako ili muwe na uwanja mpana katika kutoa hoja
Nimetumia biblia kwa sababu ndo kitabu ambacho nipo confortable nacho. Unaweza tumia kitabu unachokiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…