sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #21
Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!Unajiita Soldier hata hujui air strike ni nini? HAMAS wana Ndege ngapi? Ushawahi ona ndege ya Hamas ikipiga kombora popote pale?
Kashapost mpaka Prime minister wa Canada ku Condemn hilo tukio, Nchi kibao wame post ku Condemn Israel, we unajua kuliko prime Minister wa Canada na video yako feki inayoonesha Gaza kuna Umeme?Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Kamerza zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
Hata kikoba kina rais wakeRaisi kapatikanaje na wanasema Palestine haina Mamlaka/Madaraka kamili...!!?
Hii proof video ni Ya 2022Wapalestina 500 wamekufa baada ya hitilafu ya Kombora lililorushwa kufeli kuendelea na safari kuua wayahudi
View attachment 2784875
Labda waache Kuilea lea hamas kwenye ardhi yao. Kilichowafanya hamas kuanzisha vita ni nini?Mwisho wa vita. Palestina wataibuka washindi
Acha kuhangaika kwa sababu Israel yenyewe imeshakili kuhusika na imesema ni ajali na itachunguza.Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!
Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
View attachment 2784894
Nahisi huna bando unatumia Jamii Forums ya bure isiyoonyesha videoHii proof video ni Ya 2022
View attachment 2784899
Na baada ya Tukio msemaji wa IDF kasema Tuliwaonya mara 5 Hio hospital.
Hii ndo inaitwa Bwana atawarudishia adui zangu ubaya wao!HAMAS wamelipua Makombora yakawarudia wenyewe. Wamemalizana wao kwa wao. Ogopa taifa la Mungu. Israel isisingiziwe
View attachment 2784884View attachment 2784885View attachment 2784887
Nimekuuliza swali juu Gaza kuna Umeme? Video yako inaonesha Kombora kwenye mji wenye umeme tayari video yako ni fake.Nahisi huna bando unatumia Jamii Forums ya bure isiyoonyesha video
Hicho ulichoposti na Video vina ufanano ?
Muisrael mweusi wa Majitatu hataki kuamini kama mabwana zake wanafanya mauaji BBC nao waongo hiyo Hosotal ni Kanisa kwa taarifa yako Kanisa ndiyo limesema tumeshambuliwa na Israel.HAMAS wamelipua Makombora yakawarudia wenyewe. Wamemalizana wao kwa wao, Sio makombora yote yanayorushwa kienyeji na Hamas huwa yanafika Gaza, kuna Mengine yanasgindwa kuendelea na safari yanatua na kulipuka ndani ya Gaza,
Video ya kilichotokea ni hiki hapa, Al jazeera wanaonyesha tu watu mahospitalini hawataki kuonyesha chanzo sababu ni ndugu wa Hamas
View attachment 2784891
Watachunguza kwa kina kuona hao Hamas Lengo lao lilikuwa ni lipi mpaka kulipua Palestina, aidha ilikuwa kombora limejamu ama walifanya maksudi kuwatoa sadaka wapalestina ili waonewe hurumaAcha kuhangaika kwa sababu Israel yenyewe imeshakili kuhusika na imesema ni ajali na itachunguza.
Najua unaona aibu kwa jeshi linalo jiita bora kufanya mambo ya hovyo kama hayo lakini hakuna namna kwa sababu ndo walivyo fundishwa.
Hii website ya kijew ina Hio video mwaka 2022Nahisi huna bando unatumia Jamii Forums ya bure isiyoonyesha video
Hicho ulichoposti na Video vina ufanano ?
Nenda kwa Mangi ununue hata vocha ya jero uicheki video
Nimesha kwambia una uharo kichwani badala ya ubongo.
Alafu hao unao waita magaidi unatakiwa kuwaheshimu maana ndo wanawapiga miti mabinti na dada zako maana wagalatia wenzio wengi hawana nguvu za kiume.
Hivi unadhani hayo unayo ongea hutaulizwa utapo hukumiwa na Mungu, unadhani kuzua uwongo ndio kitatea anacho fanya Israel kupiga HospitalMara nyingi Hawa Hamas hutumia mahospital , mashule na misikiti kuficha masilaha Yao na kushambulia kutoka huko labda yamelipuka kimakosa
Una kichwa chepesi unaaminishwa habari za zamani ni za leoHii website ya kijew ina Hio video mwaka 2022
Israeli military: Misfired terrorist rocket killed kids
Initial reports from Gaza claimed an Israeli strike in Jabaliya killed 7, including 4 kids; Israeli officials say Israel has ‘unequivocal’ video, radar proof it was rocket misfirewww.australianjewishnews.com
Kweli wwe jinga wapi camera Ina onyesha missiles Imejam yani hamuoni hata aibu mnaongea ujinga mtupuNa cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!
Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
View attachment 2784894
😂😂 KichekeshoMkuu punguza upumbavu Hamas hana kombora lenye uwezo wa kuuwa watu 500.
Wewe punguani kweli Gaza kuna umeme huoni taa zinawaka kwenye hiyo video yako wadanganye mapunguani wenzako.Wapalestina 500 wamekufa baada ya hitilafu ya Kombora lililorushwa kufeli kuendelea na safari kuua wayahudi
View attachment 2784875