sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!Unajiita Soldier hata hujui air strike ni nini? HAMAS wana Ndege ngapi? Ushawahi ona ndege ya Hamas ikipiga kombora popote pale?
Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.