Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Unajiita Soldier hata hujui air strike ni nini? HAMAS wana Ndege ngapi? Ushawahi ona ndege ya Hamas ikipiga kombora popote pale?
Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!

Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
 
Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Kamerza zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
Kashapost mpaka Prime minister wa Canada ku Condemn hilo tukio, Nchi kibao wame post ku Condemn Israel, we unajua kuliko prime Minister wa Canada na video yako feki inayoonesha Gaza kuna Umeme?
 
Wapalestina 500 wamekufa baada ya hitilafu ya Kombora lililorushwa kufeli kuendelea na safari kuua wayahudi

View attachment 2784875
Hii proof video ni Ya 2022

F8qhUSEbQAAOxRj.jpeg

Na baada ya Tukio msemaji wa IDF kasema Tuliwaonya mara 5 Hio hospital.
 
Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!

Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
View attachment 2784894
Acha kuhangaika kwa sababu Israel yenyewe imeshakili kuhusika na imesema ni ajali na itachunguza.

Najua unaona aibu kwa jeshi linalo jiita bora kufanya mambo ya hovyo kama hayo lakini hakuna namna kwa sababu ndo walivyo fundishwa.
 
Nahisi huna bando unatumia Jamii Forums ya bure isiyoonyesha video

Hicho ulichoposti na Video vina ufanano ?
Nimekuuliza swali juu Gaza kuna Umeme? Video yako inaonesha Kombora kwenye mji wenye umeme tayari video yako ni fake.

Pili unabishana na IDF wenyewe ambao wamekiri we unajua kuliko jeshi la Israel wenyewe?

Tanzania tuna kila aina ya vipaji aisee.
 
HAMAS wamelipua Makombora yakawarudia wenyewe. Wamemalizana wao kwa wao, Sio makombora yote yanayorushwa kienyeji na Hamas huwa yanafika Gaza, kuna Mengine yanasgindwa kuendelea na safari yanatua na kulipuka ndani ya Gaza,

Video ya kilichotokea ni hiki hapa, Al jazeera wanaonyesha tu watu mahospitalini hawataki kuonyesha chanzo sababu ni ndugu wa Hamas

View attachment 2784891
Muisrael mweusi wa Majitatu hataki kuamini kama mabwana zake wanafanya mauaji BBC nao waongo hiyo Hosotal ni Kanisa kwa taarifa yako Kanisa ndiyo limesema tumeshambuliwa na Israel.
 
Haya maandamano kama yataendelea naona Palestine inaenda kupotea zaidi kwenye udhibiti na ushawishi wake Kwa nchi zingine za kiarabu
 
Acha kuhangaika kwa sababu Israel yenyewe imeshakili kuhusika na imesema ni ajali na itachunguza.

Najua unaona aibu kwa jeshi linalo jiita bora kufanya mambo ya hovyo kama hayo lakini hakuna namna kwa sababu ndo walivyo fundishwa.
Watachunguza kwa kina kuona hao Hamas Lengo lao lilikuwa ni lipi mpaka kulipua Palestina, aidha ilikuwa kombora limejamu ama walifanya maksudi kuwatoa sadaka wapalestina ili waonewe huruma
 
Nahisi huna bando unatumia Jamii Forums ya bure isiyoonyesha video

Hicho ulichoposti na Video vina ufanano ?

Nenda kwa Mangi ununue hata vocha ya jero uicheki video
Hii website ya kijew ina Hio video mwaka 2022

Mara nyingi Hawa Hamas hutumia mahospital , mashule na misikiti kuficha masilaha Yao na kushambulia kutoka huko labda yamelipuka kimakosa
Hivi unadhani hayo unayo ongea hutaulizwa utapo hukumiwa na Mungu, unadhani kuzua uwongo ndio kitatea anacho fanya Israel kupiga Hospital
 
Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!

Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
View attachment 2784894
Kweli wwe jinga wapi camera Ina onyesha missiles Imejam yani hamuoni hata aibu mnaongea ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom