Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Watachunguza kwa kina kuona hao Hamas Lengo lao lilikuwa ni lipi mpaka kulipua Palestina, aidha ilikuwa kombora limejamu ama walifanya maksudi kuwatoa sadaka wapalestina ili waonewe huruma
Mkuu acha kutetea ujinga hilo kombora ni la Israel Hamas hana kombora lenye uwezo wa kusababisha mlipuko mkubwa kiasi hicho.
Kiufupi kinacho fanywa na Israel ni aibu hata kwa wanazi wake.
 
Mbona hamuongelei swala la hamas kutumia schools, hospitals and mosques kama sehemu zao za ku-Launch mabomu, hio ni sawa?

Unatumiaje public places kama site yako ya kufanya mshambulizi, unajali watu wako kweli?

Ngoja niwaache bhana maana ukiongea sana utaanza kurushiwa maneno
 
Mbona hamuongelei swala la hamas kutumia schools, hospitals and mosques kama sehemu zao za ku-Launch mabomu, hio ni sawa?

Unatumiaje public places kama site yako ya kufanya mshambulizi, unajali watu wako kweli?
Huko ndiyo ulikuwa unatakiwa useme umehamisha magoli Hamas hawafanyi hivyo kwa makusudi unajitia upofu huoni wanachofanyiwa na Israel…
 
I ordered a full siege on the Gaza Strip. No power, no food, no gas, everything is closed. We are fighting human animals and we act accordingly.

Haya maneno ushahidi tosha kwa walichokifanya leo.
 
Huko ndiyo ulikuwa unatakiwa useme umehamisha magoli Hamas hawafanyi hivyo kwa makusudi unajitia upofu huoni wanachofanyiwa na Israel…
Sasa kama unafanyiwa hivo na Israel...
je using human shields, is it the only possible option??
Risking women and children's life, is it really the only option ya kupigana na adui yako?? Hatakama umezidiwa risking maisha ya wananchi ni sawa??
 
Wewe shukuru Mungu upo Tanzania maisha mazuri hata kama hauna kitu ndugu wapo hamna hata moja kafa kwa bomu au risas kuna watu wanakuwa wanaona familia zao zinapotea kwa kupigwa risasi, mabomu kuporwa ardhi zao ni rahisi sana kuandika na kulaumu, mfano kidogp tu hapa kila siku tunawatetea wamasai huko Loliondo. Bahati mbaya au nzuri wewe umeishachagua upande.
 
Nimekuelewa, ila nilikuwa nataka jibu la NDIO au HAPANA bac.

Unazunguka zunguka sana, kwann hamtaki kusema ukweli kwamba hamas hawajali Palestinians?? Kwann??
 
Mkuu hio Hospital ni ya Kanisa Hamas wapo Kanisani siku hizi? Humo ndani majority ni watoto ambao wanalelewa yatima ambao hawana wazazi, hii video imechukuliwa jana Kituoni hapo
Your browser is not able to display this video.
 
Intelligence information revealed that the strike which hit al-Ahli Hospital in Gaza City was a rocket misfired by Palestinian Islamic Jihad terrorists, the Israeli army has claimed.
But a spokesman for Islamic Jihad has said this is 'completely incorrect' and accused the IDF of 'trying to cover for the horrifying crime and massacre they committed against civilians'.

Wewe unamuamini nani hapo?
 
Nimekuelewa, ila nilikuwa nataka jibu la NDIO au HAPANA bac.

Unazunguka zunguka sana, kwann hamtaki kusema ukweli kwamba hamas hawajali Palestinians?? Kwann??
Intelligence information revealed that the strike which hit al-Ahli Hospital in Gaza City was a rocket misfired by Palestinian Islamic Jihad terrorists, the Israeli army has claimed.
But a spokesman for Islamic Jihad has said this is 'completely incorrect' and accused the IDF of 'trying to cover for the horrifying crime and massacre they committed against civilians'.

Jamaa zako Israel wamesema Hamas hawahusiki ni IIslamic Jiahd
 
Okay
 
Aisee niambie ww unaewatetea
 
Kwann mm nimeongelea hilo kanisa??
Uzi Unaongelea Attack ya Hospital? Ama Tunaongelea nini hapa

Na Usihamishe Magoli as If Hamas wanapigana na Israel, Jeshi la Israel hata Halijaingia Gaza linarusha tu Makombora popote pale, Wamepiga hadi ofisi za Umoja wa Mataifa nao pia ni Hamas? Wanapiga ofisi zote za waandishi wa habari wameua hadi waandishi wa habari wa Reuters nao ni Hamas?

Umepost matwet yako ya propaganda tu maana ndio sehemu unazotembelea shame on you.
 
Okay, Shame on me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…