Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Kwani tatizo nini, bomu litupwe na yeyote ni sawa tu, hao wako vitani mlitakaje sasa? Waache kulia lia wapigane mpaka kieleweke, hatutaki visingizio, kwani wanaokufa majumbani na wanaokufa hospitalini wanatofauti gani?
Wamebomoa maficho ya Hamas au nani kafa mpaka kelele zote hizi?
Badala ya kuwatia moyo mnaanza kuwaonea huruma, Hamas walisema walijiandaa kwa vita ya muda mrefu na kwamba wako tayari kupigana milele sasa Tatizo nini tena?
Waachwe watwangane tu.
 
bado roketi iliyovunjika haiwezi kusababisha uharibifu huo
 
Wapalestina 500 wamekufa baada ya hitilafu ya Kombora lililorushwa na Hamas kuelekea Israel kufeli kuendelea na safari likatua Hospitali ya Gaza na kuua wapalestina wasio na hatia


View attachment 2784933

Naftali Bennet alitweet kuwa Israel imepiga hospitali kwa sababu magaidi wapo hospitalini, kisha akafuta akaandika nyingine kuwa ni HAMAS imefanya hivyo. Ukatili mtupu!
 
1. Gaza hakuna umeme video yako inaonesha mji mzima una umeme

2. Hii video sio ya Leo ni ya zamani sana muda si mrefu Nakuletea source yake
Screenshot_20231018-010642_X.jpg

Video ya mwaka jana
 
Mbona hamuongelei swala la hamas kutumia schools, hospitals and mosques kama sehemu zao za ku-Launch mabomu, hio ni sawa?

Unatumiaje public places kama site yako ya kufanya mshambulizi, unajali watu wako kweli?

Ngoja niwaache bhana maana ukiongea sana utaanza kurushiwa maneno
Una proof yoyote kama hamas wanatumia hospital na shule kulaunch bomb zao? au mkuu kila kinachosemwa na israel wewe unaamini?
 
Hata kama ushahidi upo wanatakaje, waache visingizio waendelee kupigana. Unapopigana usitengeneze masharti mara ohoo usinipige tumboni nina harisha, mara mbavuni hapana, we pigana kama ni masharti ya kupigana alitakiwa ayatengeneze kabla ya kuanza uchokozi.
Wapigwe tu, hakuna cha ushahidi wala nini. Waarabu wa BUZA ndio wanapiga kelele badala ya kwenda kuwasidia hao hamas.
Israela alipovamiwa walishangilia dunia nzima, sasa wameanza visingizio vya kila aina.
 
Endeleeni kujitoa ufahamu na kidanganyana kuwa Israeli hausiki.

BREAKING NEWS
[emoji1137][emoji631] The King of Jordan has CANCELLED his upcoming meeting with President Biden.
 
Video hio hapo kama shida ni video

View attachment 2784890

Na IDF wenyewe wamekiri.

Hakika macho yanatoa machozi na moyo unahuzunika. Ila hatusemi ila lile analoliridhia Allah.

إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

“Innā lillāhi wa innā ilaihi rāji’ūn.”
 
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondoka ndani ya Gaza, Baada ya dakika 21 (19:20) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali, Kwa ufupi Hamas wamelipua wapalestina 500 wakaona wadanganye ni Israel.


View attachment 2784936
Kumbe na wewe umejaa madudu kichwani...huna hata akili ya ndogo ya kufikiri
Bogus kabisa...
 
Endelea kufanya dhihaka juu ya binadamu mwenzako aliefariki. Siku zote Wakristo Wa Palestina wanauliwa na Israel Na ni sisi waisilamu ndio tunawaonea huruma, tunawazika na Tupo nao bega kwa bega
View attachment 2784950
Nyie mnawasahao, mna ignore kama vile hawapo, Anyway Hio ndio hospital ya Mwisho ya Wakristo ukanda wa Gaza zilizobakia zote either zimepokonywa, zimechukuliwa kilazima ama zimelipuliwa Na hao mnaowakatia viuno kila siku.
Hivi visingizio tu, Hamas wako tayari kufa sijui kwanini wanjificha katikati ya wananchi au vi hamas vijavyo. Wapigane waache visingizio huu sio muda wake.
Israel inataka ikawasake hamas ndani ya ardhi yao na iwapokonye silaha, hamtaki. sasa vita haitakwisha, na mimi napenda iwe hivyo ili atakayepigwa asiseme aliamuliwa mapema.
 
Dah hatari sana na sio mara ya kwanza HAMAS wanarusha kombora linakosa njia na kupiga Wapalestina.
 
Kombora la Hamas limewahua Wapelestina na Magaidi wa Hamas.

Waarab majinga sana!
 
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondokea Gaza kwenye Hospitali ya hospitali ya Al-Mamamani, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,

Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka kwa Kombora la Hamas kupata hitilafu wakazima camera wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.
View attachment 2784978

Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa
View attachment 2784936


Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola

View attachment 2784973

Hii ni Telegram ya Hamas, waliripoti 19:10 kwamba Israel kalipua wapalestina 500

View attachment 2784972

Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
Acha propaganda za kifala.... Ndo litue hospital...

View: https://twitter.com/jacksonhinklle/status/1714411407968551232?t=RmWudR8LaBonaZJSRxNJxg&s=19
 
Mara nyingi Hawa Hamas hutumia mahospital , mashule na misikiti kuficha masilaha Yao na kushambulia kutoka huko labda yamelipuka kimakosa
Ndo magaidi walivyo ili wapate sababu za kulia lia wakipewa kichapo
 
Hospital imepigwa na kombora unabisha nini sasa jiulize hao Hamas wangekuwa na makombora ya hivi Israel ingekuwepo?
Nyie watu bongo zenu sijui zimejaa nini kwahiyo umuhimu wa iron dome huuoni sio? Huo mfumo wa ulinzi wa kudaka makombora ya Hamas unapofeli na kombora kutia ardhini uharibifu wake huwa ni mkubwa sana.
 
Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!

Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
View attachment 2784938
We unaonyesha hata shule hujaenda toka lini missiles zinajam afu zinaenda Rushall missile sehemu ingine 😂 afu hizo footprint wanazo onyesha ni sawa sawa na yule mbwa wa Natanyahau alikuwa hospital wakageuza eti watoto wamechinjwa.

Kuna siku Israel anakubali kafanya kosa hata majumba anasema kuna silaha za Hamasi hajaweza kutoa evidence yoyote kuonyesha kuvunja silaha.


View: https://youtu.be/29LVgRMk9Sg?si=vAogiIGhCM4TJzu2

Tazama wao wenyewe Israel wali tweet kuwa wamepiga Hamasi Base pale Hospital afu wakaifuta eti walikosea walitweet by mistake, mnasema super power hawa 😂 badaye walipofuta wa kajidai Jihad Islam eti ndio kapiga kama kawaida zao, hata yule mtangazaji wa Al Jazeera walimuwa badaye wakasema ni Hamasi ndio kamua bada ya week wakaja kukiri walimua wao bada ya kubanwa kwa dalili


Huyo anapewa kichwa na US, nchi za Europe, nchi za kiarabu wanafiki kuanzia Abbas anajidai kiongozi wa Palestine wakati wa Palestine hawamtaki na Jordan, Egypt na hata Saud Arabia hawa wakiamua kuwa serious Israel hawezi kufanya ujinga huo.
 
Back
Top Bottom