ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mkuu acha kutetea ujinga hilo kombora ni la Israel Hamas hana kombora lenye uwezo wa kusababisha mlipuko mkubwa kiasi hicho.Watachunguza kwa kina kuona hao Hamas Lengo lao lilikuwa ni lipi mpaka kulipua Palestina, aidha ilikuwa kombora limejamu ama walifanya maksudi kuwatoa sadaka wapalestina ili waonewe huruma
Kiufupi kinacho fanywa na Israel ni aibu hata kwa wanazi wake.