Wapalestina 500 wamekufa baada ya hitilafu ya Kombora lililorushwa na Hamas kuelekea Israel kufeli kuendelea na safari likatua Hospitali ya Gaza na kuua wapalestina wasio na hatia
View attachment 2784933
1. Gaza hakuna umeme video yako inaonesha mji mzima una umeme
2. Hii video sio ya Leo ni ya zamani sana muda si mrefu Nakuletea source yake
Una proof yoyote kama hamas wanatumia hospital na shule kulaunch bomb zao? au mkuu kila kinachosemwa na israel wewe unaamini?Mbona hamuongelei swala la hamas kutumia schools, hospitals and mosques kama sehemu zao za ku-Launch mabomu, hio ni sawa?
Unatumiaje public places kama site yako ya kufanya mshambulizi, unajali watu wako kweli?
Ngoja niwaache bhana maana ukiongea sana utaanza kurushiwa maneno
Kumbe na wewe umejaa madudu kichwani...huna hata akili ya ndogo ya kufikiriMji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondoka ndani ya Gaza, Baada ya dakika 21 (19:20) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali, Kwa ufupi Hamas wamelipua wapalestina 500 wakaona wadanganye ni Israel.
View attachment 2784936
Palestine Authority na siyo State.Raisi kapatikanaje na wanasema Palestine haina Mamlaka/Madaraka kamili...!!?
Hivi visingizio tu, Hamas wako tayari kufa sijui kwanini wanjificha katikati ya wananchi au vi hamas vijavyo. Wapigane waache visingizio huu sio muda wake.Endelea kufanya dhihaka juu ya binadamu mwenzako aliefariki. Siku zote Wakristo Wa Palestina wanauliwa na Israel Na ni sisi waisilamu ndio tunawaonea huruma, tunawazika na Tupo nao bega kwa bega
View attachment 2784950
Nyie mnawasahao, mna ignore kama vile hawapo, Anyway Hio ndio hospital ya Mwisho ya Wakristo ukanda wa Gaza zilizobakia zote either zimepokonywa, zimechukuliwa kilazima ama zimelipuliwa Na hao mnaowakatia viuno kila siku.
Acha propaganda za kifala.... Ndo litue hospital...Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondokea Gaza kwenye Hospitali ya hospitali ya Al-Mamamani, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,
Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka kwa Kombora la Hamas kupata hitilafu wakazima camera wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.
View attachment 2784978
Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa
View attachment 2784936
Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola
View attachment 2784973
Hii ni Telegram ya Hamas, waliripoti 19:10 kwamba Israel kalipua wapalestina 500
View attachment 2784972
Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
Acha propaganda za kifala.... Ndo litue hospital...
View: https://twitter.com/jacksonhinklle/status/1714411407968551232?t=RmWudR8LaBonaZJSRxNJxg&s=19
Ndo magaidi walivyo ili wapate sababu za kulia lia wakipewa kichapoMara nyingi Hawa Hamas hutumia mahospital , mashule na misikiti kuficha masilaha Yao na kushambulia kutoka huko labda yamelipuka kimakosa
Nyie watu bongo zenu sijui zimejaa nini kwahiyo umuhimu wa iron dome huuoni sio? Huo mfumo wa ulinzi wa kudaka makombora ya Hamas unapofeli na kombora kutia ardhini uharibifu wake huwa ni mkubwa sana.Hospital imepigwa na kombora unabisha nini sasa jiulize hao Hamas wangekuwa na makombora ya hivi Israel ingekuwepo?
We unaonyesha hata shule hujaenda toka lini missiles zinajam afu zinaenda Rushall missile sehemu ingine 😂 afu hizo footprint wanazo onyesha ni sawa sawa na yule mbwa wa Natanyahau alikuwa hospital wakageuza eti watoto wamechinjwa.Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!
Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
View attachment 2784938
Kweli wewe ni MalariaMwisho wa vita. Palestina wataibuka washindi