Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Kwa akili za hawa ndugu zetu wana wa Israeli itakuwa ni wao wamerusha hilo kombora.

Wala msiwatete ni wajeuri
 
Muisrael mweusi wa Majitatu hataki kuamini kama mabwana zake wanafanya mauaji BBC nao waongo hiyo Hosotal ni Kanisa kwa taarifa yako Kanisa ndiyo limesema tumeshambuliwa na Israel.
Kanisa linashambuliwa daily Hakunaga jipya hapo!
 
Magaidi hawana akili. Kuna comment moja mwamba alisema "ukute hamas ndo wamewaua watu kwenye hiyo hospotali afu wanamsingzia israel ili dunia ijenge chuku na israel" kumbe kweli wamejiua yenyewe. Inawezekana israel washapata mbinu ya kuyatungulia huko huko yanapotoka
 
 
Nyie watu bongo zenu sijui zimejaa nini kwahiyo umuhimu wa iron dome huuoni sio? Huo mfumo wa ulinzi wa kudaka makombora ya Hamas unapofeli na kombora kutia ardhini uharibifu wake huwa ni mkubwa sana.
Sasa mimi na wewe nani punguani unachokiandika unakijua kweli hujui chochote zaidi ya ushabiki eti mfumo wa ulinzi wa kunasa makobora wa Hamas eti umefel mabwana zako Israel wanasema siyo Hamas ni Islamic jihad ndiyo wanahusika.
 
Nimefungua uzi huu ili nicheke tu basi
 
Unajiita Soldier hata hujui air strike ni nini? HAMAS wana Ndege ngapi? Ushawahi ona ndege ya Hamas ikipiga kombora popote pale?
Kwani kombola lazima lirushwe kwa ndege, makumi yamakombora yamerushwa kutoka kwa wapalestina leo unawezaje kusema hawana makombola?
Hata hivyo kama ni Israel walipiga ni sawa tu wale waliouwa wakiwa kwenye tamasha huko Israel.
Siku mkiacha unafiki ,mtakuwa watu wa haki.
 
Mimi nilifikiria umetuwekea video ya kuonyesha kombora likipiga kumbe ni mazungumzo ambayo yanaweza yakawa ya kweli ama ya uongo
Nilikuwa naagalia jana chaneli ya France 24.
Kuna taarifa feki nyingi sana , kuna matukio yahitaji uchunguzi,
 
Kila mtu atasema ni propaganda. Tragic indeed ila acha wafu wazikane
 
Hivi na sisi tungeambiwa Enzi za vita yetu na jirani tulikuwa tunajipiga wenyewe ingeingia akilini
Israel eti ana huruma yaani ameuwa watu zaidi ya 2000 halafu unasema wamejipiga wenyewe
Hebu tuache ushabiki wa hivi maana kuna watu wamepoteza maisha na nyie mnafanya jokes humu
Kufurahia mabaya inaonyesha udhaifu kwenye Imani
Hakuna human beings anaweza kukenua meno kwa haya
 
Hapo palipozungushiwa duara wala hapajasema kama ilivyo kwenye kichwa cha uzi.Kwanini mod haondoi uzi wote kwa kudanganya.
 
Daah hii ya kupiga hadi hospital ni zaidi ya ukatili wanazidi kutengenezeana Hasira kwa vizazi na vizazi sioni kama watakuja kukaa sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…