Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa linashambuliwa daily Hakunaga jipya hapo!Muisrael mweusi wa Majitatu hataki kuamini kama mabwana zake wanafanya mauaji BBC nao waongo hiyo Hosotal ni Kanisa kwa taarifa yako Kanisa ndiyo limesema tumeshambuliwa na Israel.
Askofu Gamanywa: Hamas ni cha Mtoto 😂Kwa akili za hawa ndugu zetu wana wa Israeli itakuwa ni wao wamerusha hilo kombora.
Wala msiwatete ni wajeuri
Nani atakaye wakabidhi kombe?Mwisho wa vita. Palestina wataibuka washindi
Magaidi hawana akili. Kuna comment moja mwamba alisema "ukute hamas ndo wamewaua watu kwenye hiyo hospotali afu wanamsingzia israel ili dunia ijenge chuku na israel" kumbe kweli wamejiua yenyewe. Inawezekana israel washapata mbinu ya kuyatungulia huko huko yanapotokaMji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondokea Gaza kwenye Hospitali ya hospitali ya Al-Mamamani, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,
Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka kwa Kombora la Hamas kupata hitilafu wakazima camera wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.
View attachment 2784978
Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa
View attachment 2784936
Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola
View attachment 2784973
Hii ni Telegram ya Hamas, waliripoti 19:10 kwamba Israel kalipua wapalestina 500
View attachment 2784972
Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
Hii tweet ni ya Vice President wa Global Imams Council(GIC).
HAFAIDIKI CHOCHOTE KUITETEA ISRAEL NA BADO AME SHARE VIDEO FROM AL-JAZEERA, AMBAYO WOTE TUNAJUA IKO UPANDE WA HAMAS.
View: https://twitter.com/Imamofpeace/status/1714386149337104854?t=4cZXSQnYC11fJsIwEvPXSg&s=19
HAYA SEMENI HII VIDEO NAYO NI YA 2022
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondokea Gaza kwenye Hospitali ya hospitali ya Al-Mamamani, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,
Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka kwa Kombora la Hamas kupata hitilafu wakazima camera wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.
View attachment 2784978
Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa
View attachment 2784936
Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola
View attachment 2784973
Hii ni Telegram ya Hamas, waliripoti 19:10 kwamba Israel kalipua wapalestina 500
View attachment 2784972
Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
Sasa mimi na wewe nani punguani unachokiandika unakijua kweli hujui chochote zaidi ya ushabiki eti mfumo wa ulinzi wa kunasa makobora wa Hamas eti umefel mabwana zako Israel wanasema siyo Hamas ni Islamic jihad ndiyo wanahusika.Nyie watu bongo zenu sijui zimejaa nini kwahiyo umuhimu wa iron dome huuoni sio? Huo mfumo wa ulinzi wa kudaka makombora ya Hamas unapofeli na kombora kutia ardhini uharibifu wake huwa ni mkubwa sana.
Nimefungua uzi huu ili nicheke tu basiMji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondokea Gaza kwenye Hospitali ya hospitali ya Al-Mamamani, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,
Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka kwa Kombora la Hamas kupata hitilafu wakazima camera wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.
View attachment 2784978
Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa
View attachment 2784936
Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola
View attachment 2784973
Hii ni Telegram ya Hamas, waliripoti 19:10 kwamba Israel kalipua wapalestina 500
View attachment 2784972
Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
Kwani kombola lazima lirushwe kwa ndege, makumi yamakombora yamerushwa kutoka kwa wapalestina leo unawezaje kusema hawana makombola?Unajiita Soldier hata hujui air strike ni nini? HAMAS wana Ndege ngapi? Ushawahi ona ndege ya Hamas ikipiga kombora popote pale?
Nilikuwa naagalia jana chaneli ya France 24.Mimi nilifikiria umetuwekea video ya kuonyesha kombora likipiga kumbe ni mazungumzo ambayo yanaweza yakawa ya kweli ama ya uongo
Hapo palipozungushiwa duara wala hapajasema kama ilivyo kwenye kichwa cha uzi.Kwanini mod haondoi uzi wote kwa kudanganya.Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondokea Gaza kwenye Hospitali ya hospitali ya Al-Mamamani, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,