Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Si wameipata sasa hivi kabla ya hapo ilikuwa mikoni mwake!
 
Huo ujinga kawaambie ndg zako, mnahangaika kumsafisha lakn mtambue kwamba mwisho Wa ubaya ni aibu na utambue kwamba Mungu hajaribiwi, hizo dini zenu mmezifanya kichaka mtazidi kuumbuka mmoja mmoja
vibaraka wa lumumba utawajua tu
 
inshu huyo ni Gwajima ama siye?

mambo ya ww kuwa nayo hayana mashiko tena. hata kama ingekuwa ni mwaka 2010, swala huyo ni Gwajima, na anafanya uzinzi, kajirekodi mwenyewe, kazisambaza kwa kupenda ama kwa uzembe hivyo ni kosa kusheria.
 
Baba unge share link tuone source ya video uliko itoa
 
ata ingekuwa ya mwaka 47, video ni yakwake , ni genuine.
 
Mimi huwa naamini upande wa Mungu unashinda hata baada ya vizazi na vizazi ngoja tuone.. Ila awamu ya 5 ina mbinu za kijinga tokea nchi hii ipate Uhuru
 
Hiyo simu yako ilikuwa inaonyesha mwezi tu, ghafla November ikaweka na mwaka? Utapeli kama Gwajima tu!
 
Najivunia kuwa mkristo safi wa kanisa katoliki la mitume....
 
Acha Mungu ahukumu mbona kumtetea sana au we mzee wa kanisa mnaogopa mtakula wapi waumini wakikimbia.
 
We vipi? umemsikia msemaji wa familia ya Gwajima? amesema alipewa juice akashindwa kujitambua afanyacho, sasa we unakuja na mapichapicha tu ya sijui ya mwaka gani!!
 
Umekuwa unaiangalia kisirisiri... eeeeeh hata mtu ukipokea kideo leo kinaweza kusevu kwa date na time ya muda ilirekodiwa au kusetiwa.
Na hakuna aliyesema ilikuwa ya masaa kabla haijarushwa mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…