Kulingana na mtiririko wa habari, kwa mtazamo mbona ni kama kuna watu ama kundi lilikua na kisasi kifuani, walikua wakisubiri nafasi ya dhahabu siku moja itokee waweze kulipa? Ukiachana either amri ilitolewa lakini ni kama wameenda zaidi, na imekua kama kulipa KISASI. Embu tufikiri kwa kina, inawezekana hili jambo likawa limebeba mengi ndani yake.Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa sishabikii maandamano wala mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Niliyoshuhudia au kusimuliwa na watu kuhusu maauji ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025 yanahuzunisha sana na yamenifanya niamini kuwa jeshi la polisi Tanzania linafanya kazi kitutusa sana.
Nimeanzisha uzi huu ili tupeane updates kuhusu kilochojiri kwenye maeneo yetu ili kuthibitisha ukiukwaji wa maadili uliofanywa na jeshi la polisi kwa raia wasiokuwa na hatia. Katika eneo nililopo watu wengi sana waliouliwa hawakuwa na hatia na wala hawakuhusika kwenye maandamano. Pamoja na kuzimwa kwa huduma ya internet na wananchi kuzuiliwa kufanya shughuli zao za kiuchumi, ni dhahairi wananchi mmeshuhudia mauaji holela katika maeneo yenu ambayo yangeweza kuepukika ikiwa polisi wangetumia busara na weledi.
Matukio ya kipuuzi na yasiyokuwa na chembe ya utu ambayo nimeshuhudia au kusimuliwa na wananchi wakati nikichukua takwimu za mauaji ni mengi lakini naomba niweke haya machache kwa kuwa mengi yanafanana na haya.
1. Polisi waliingia kwenye kituo cha watoto wanaojifunza mpira (football academy) wakati watoto hao wakijifunza kwa vitendo mambo ya mpira kwenye runinga, wakawaua watoto 7 kwa risasi papo hapo.
2. Katika tukio lingine, polisi waliokuwa wakirandaranda huku na huku walifika kwenye baa moja na kuwakuta watu wakinywa pombe. Wakamuita mzee mmoja akatoka nje kabla hajafika mbali wakampiga risasi kifuani akafia palepale.
3. Polisi waliwakuta vijana dukani wakiwa kwenye foleni ya kununua bidhaa, wakawaamrisha walale chini kifudifudi bila kujitikisha. Wakawapiga risasi za kisogoni wote kisha wakapakia maiti kwenye gari wakaondoka nazo.
4. Polisi walivamia genge la mama ntilie mmoja, wakawatawanya raia waliokuwa wakila chakula kwa kuwarushia risasi za moto. Risasi ikampata mama ntilie ikampasua kichwa akafia palepale.
5. Polisi walipita mtaani wakawakuta wanafamilia wameketi nje ya nyumba yao wanajipatia chakula cha jioni, wakwarushia risasi mfululizo na kufanikiwa kumuua baba wa familia na mtoto wake mmoja papo hapo.
Kwa mifano hiyo michache ni wazi kuwa polisi wa Tanzania hawana weledi kabisa wa kikazi. Hata kama walipewa maagizo ya kuua raia kwa risasi za moto, hakukuwa na haja ya kuwaua raia wasiokuwa na hatia kwa kuwapiga risasi ovyo. Kwa takwimu hizi za kusimuliwa na kushuhudia mwenyewe, ni dhahiri wananchi wengi waliouawa hawakuwa kwenye maandamano na wala walikuwa hawafanyi vurugu yoyote. Fikiria watu wako kwenye shughuli zao lakini wanauliwa bila sababu za msingi.
Tumekuwa tukishuhudia kwingineko duniani polisi wakituliza maandamano lakini siokwa staili hii ya polisi wa Tanzania. Inasikitisha sana. Hizi roho za wananchi wasiokuwa na hatia zilizozimwa na polisi haziwezi kupita bure.
Je, eneo ulilopo kuna tukio gani la mauaji ya ovyo uliloshuhudia? Tunataka tukusanye matukio ya kutosha ili watetea haki za binadamu na ICC wazitumie kama reference ya kuichukulia hatua serikali ya Tanzania kwa mauaji haya ya halaiki.
Inasemekana kulikuwa na policcm, Tiss na Kmkm kutoka Zanzibar, nk.Kuna picha nyingine zinazo onyesha watu waliovaa t-shirts wakiwa na bunduki wakiwasaka watu wa kuwaua, ndio maana nikauliza swali hilo.
Nimekaa Peke yangu nikatafakari kuhusu walichofanya Polisi sikupata majibu!Polisi wametumwa sawa na je hawana akili ya kujiongeza?
Watu wamekaa wanakula wewe unaua kwa nini?
Hawana utu hata chembe?
Bado inatia shida sana kuelewa lengo hasa la haya mauaji holela (indiscriminate) kama yalivyo fanyika!Inasemekana kulikuwa na policcm, Tiss na Kmkm kutoka Zanzibar, nk.
Ingekuwa ni watu wasiofahamika wanaranda randa mitaani kutwa na mabunduki wangekamatwa na policcm
Dah imeniuma sanaKuna ile video watoto wanalia sebuleni, mama kapigwa risasi mlangoni akiwa anaingia ndani, mbele ya watoto wadogo
Inauma kuliko kawaida
BismillahAllah akbar kifo kimempata yeye.
He is no more.
Samia Suluhu Hassan damu hizi haziatakuacha salama hata kidogo usijetafuta mchawi.Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa sishabikii maandamano wala mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Niliyoshuhudia au kusimuliwa na watu kuhusu maauji ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025 yanahuzunisha sana na yamenifanya niamini kuwa jeshi la polisi Tanzania linafanya kazi kitutusa sana.
Nimeanzisha uzi huu ili tupeane updates kuhusu kilochojiri kwenye maeneo yetu ili kuthibitisha ukiukwaji wa maadili uliofanywa na jeshi la polisi kwa raia wasiokuwa na hatia. Katika eneo nililopo watu wengi sana waliouliwa hawakuwa na hatia na wala hawakuhusika kwenye maandamano. Pamoja na kuzimwa kwa huduma ya internet na wananchi kuzuiliwa kufanya shughuli zao za kiuchumi, ni dhahairi wananchi mmeshuhudia mauaji holela katika maeneo yenu ambayo yangeweza kuepukika ikiwa polisi wangetumia busara na weledi.
Matukio ya kipuuzi na yasiyokuwa na chembe ya utu ambayo nimeshuhudia au kusimuliwa na wananchi wakati nikichukua takwimu za mauaji ni mengi lakini naomba niweke haya machache kwa kuwa mengi yanafanana na haya.
1. Polisi waliingia kwenye kituo cha watoto wanaojifunza mpira (football academy) wakati watoto hao wakijifunza kwa vitendo mambo ya mpira kwenye runinga, wakawaua watoto 7 kwa risasi papo hapo.
2. Katika tukio lingine, polisi waliokuwa wakirandaranda huku na huku walifika kwenye baa moja na kuwakuta watu wakinywa pombe. Wakamuita mzee mmoja akatoka nje kabla hajafika mbali wakampiga risasi kifuani akafia palepale.
3. Polisi waliwakuta vijana dukani wakiwa kwenye foleni ya kununua bidhaa, wakawaamrisha walale chini kifudifudi bila kujitikisha. Wakawapiga risasi za kisogoni wote kisha wakapakia maiti kwenye gari wakaondoka nazo.
4. Polisi walivamia genge la mama ntilie mmoja, wakawatawanya raia waliokuwa wakila chakula kwa kuwarushia risasi za moto. Risasi ikampata mama ntilie ikampasua kichwa akafia palepale.
5. Polisi walipita mtaani wakawakuta wanafamilia wameketi nje ya nyumba yao wanajipatia chakula cha jioni, wakwarushia risasi mfululizo na kufanikiwa kumuua baba wa familia na mtoto wake mmoja papo hapo.
Kwa mifano hiyo michache ni wazi kuwa polisi wa Tanzania hawana weledi kabisa wa kikazi. Hata kama walipewa maagizo ya kuua raia kwa risasi za moto, hakukuwa na haja ya kuwaua raia wasiokuwa na hatia kwa kuwapiga risasi ovyo. Kwa takwimu hizi za kusimuliwa na kushuhudia mwenyewe, ni dhahiri wananchi wengi waliouawa hawakuwa kwenye maandamano na wala walikuwa hawafanyi vurugu yoyote. Fikiria watu wako kwenye shughuli zao lakini wanauliwa bila sababu za msingi.
Tumekuwa tukishuhudia kwingineko duniani polisi wakituliza maandamano lakini siokwa staili hii ya polisi wa Tanzania. Inasikitisha sana. Hizi roho za wananchi wasiokuwa na hatia zilizozimwa na polisi haziwezi kupita bure.
Je, eneo ulilopo kuna tukio gani la mauaji ya ovyo uliloshuhudia? Tunataka tukusanye matukio ya kutosha ili watetea haki za binadamu na ICC wazitumie kama reference ya kuichukulia hatua serikali ya Tanzania kwa mauaji haya ya halaiki.
Bado inatia shida sana kuelewa lengo hasa la haya mauaji holela (indiscriminate) kama yalivyo fanyika!
KMKM na TISS, labda ndio hao walioonekana bila uniform!
Kwa hiyo uongozi wa polisi wanazo taarifa zote za wahusika waliotumwa kufanya kazi hii.
Nawachukia polisi vibaya mno.Unazijua sifa za kujiunga na jeshi la polisi? Hata ukiwa na D mbili form 4 hawakuchukui. Wanataka wenye D moja na F zote. Halafu unategemea wawe na akili ya kujiongeza? Yale hata maroboti yana unafuu. Yakiambiwa mkikuta watu wamekusanyika tandika risasi basi yanabeba amri hivyo hivyo. Hata kama ni familia mmekusanyika mnakula linawanyuka tu risasi. Mtu mwenye D moja si ni sawa tu na mtu mwenye utindio wa ubongo? π³π³π³π³π³
Na kapelo nyeusi.Kuna picha nyingine zinazo onyesha watu waliovaa t-shirts wakiwa na bunduki wakiwasaka watu wa kuwaua, ndio maana nikauliza swali hilo.
Sasa kwa upande huo wa askari walioshiriki mauaji, hilo ni rahisi kwa sababu pa kuanzia pako wazi, ni kwa akina Jumanne Mulilo.
... just lack of self-confidence!! Mama hakujiamani na sidhani kama kweli anajiamini. Ukienda kinyume na maono yake tu basi anatumia rungu kubwa kupambana na wewe. Maoni halali ya Ndungai yalimpoza, maoni halali ya Gwajima yalimponza, sasa maoni halali ya mtu aisyekuwa na jina kubwa anaishia kwenye risasi tu.Bado inatia shida sana kuelewa lengo hasa la haya mauaji holela (indiscriminate) kama yalivyo fanyika!
KMKM na TISS, labda ndio hao walioonekana bila uniform!
Kwa hiyo uongozi wa polisi wanazo taarifa zote za wahusika waliotumwa kufanya kazi hii.
Hapana. Huku ni kubomoa "dola".Lengo ni kulinda Dola Mkuu
Huu wote ni ushahidi muhimu unaotakiwa kuwekwa mahali pamoja ili utumike hapo itakapokuwa unahitajika..Na kapelo nyeusi.
Wote za kirai na kapelo.
Kuna video moja nafikiri maeneo ya Sinza waliwasili na gari binafsi wakiwa wamevaa sare, baada ya muda mfupi wakawa wanatoa sare ndani wamevaa fulana nyeusi na kutupia sare kwenye gari binafsi waliokuja nayo na kukamatia mitutu yao
Kijana wangu ambaye niliamua kujitolea kumsaidia baada ya maisha kuwa magumu, nilimlipia ufundi, akawa Fundi wa milango na madirisha ya Aluminum, amenipigia simu juzi kuwa amepigwa risasi na askari mguuni huku room mate wake akiaga dunia baada ya ku-bleed sana kuanzia saa nne hadi saa kumi walivyopata matibabu Mbagala. Audio ninayo nimemrekodi.....nimeumia sana sanaJe, eneo ulilopo kuna tukio gani la mauaji ya ovyo uliloshuhudia? Tunataka tukusanye matukio ya kutosha ili watetea haki za binadamu na ICC wazitumie kama reference ya kuichukulia hatua serikali ya Tanzania kwa mauaji haya ya halaiki.
ICC unaweza kujiondoa na usiwe mwanachamaHuu utawala usipofikishwa ICC kwa uhalifu dhidi ya binadamu tutakuwa hatuna tofauti na wanyama