Toka lini 'nguruwe' akwa "mwanadam"?pale ambapo nyumbu inajaribu kumchalenge binadamu ili kuona kama wanafanana! Buree kabisa!
owa unamaanisha mimi ama mwingine?Kenge moja imekurupuka kutoka huko Lumumba inakuja hapa kutupigia kelele. Achana nayo mkuu.
Very sad. Hii ni nchi ya kigaidi.Mimi mke wa mdogo wangu alikuwa anatoka getini amwage uchafu, ile anafungua geti mlango mdogo hata hajatoka nje akakutana na risasi ya kifua, hawakuridhika wakampiga na ya kichwa. Na ndo kwaanza aliolewa mieiz 3 haijaisha
ok!Huyo kenge uliyekuwa unajibizana naye hapo