PostGE2025 Ushahidi wa mauaji ya Mo29 wafika ICC. Mmoja akiri kuua watu 300

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Inaonekana huna hata bando la kumsikiliza...
Kama ungesikiliza anachosema ungenielewa....
Kwa hiyo hata hujui ninachotaka kujibiwa...
Ndio maana umekazana ubishi wa kiha bila kuwa na hoja
Unabisha tu ili mradi....
Sasa ushaidi wa kupelekwa icc unautaka wewe ? Unataka ufanyie Nini wakati hata hapa umekuja na id fake kama vipi nenda icc ukauangalie huko au mnataka mkawateke hao waliobakia ili mharibu kabisa?
 
upuuzi mtu, hakuna lolote la maana hapo, haya ndio yanasababisha CCM itawale milele, ni usanii kama huu.
 
Kwishaaa habari ya Samuya.
Damu za ndugu zetu tena maelfu kamwe haziwezi kupotea bure
Kamwe shetani hajawahi kumshinda MUNGU.
Yaani kweli na akili zenu mnamsikiliza huyo robot aliye tengenezwa kuwapumbaza akili ,hivi mpo serious kweli mnaaminishwa project kijinga kabisa
 
Yaani kweli na akili zenu mnamsikiliza huyo robot aliye tengenezwa kuwapumbaza akili ,hivi mpo serious kweli mnaaminishwa project kijinga kabisa
Usikariri, watanzania wana watoto wengi wamewazaa kwa viuno vyao wako nje ya nchi wana uchungu na motherland licha ya wao kukulia huko kwa wazungu.
 
Watanganyika wamepatikana 😭😭
 
Kwahiyo mkikaa na wapumbavu wenzenu wa TEC na kujazana ujinga unadhani kuna mwehu atakuja kukaa na kusikiliza upuuzi kama huo
 
Nini kinamzuia huyu jamaa kuweka ushahidi anao uimba kila mara. W
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…