Nani anaweza haribu ushahidi anaoweka Mange na wengine online, yeye nini kunamzuia? Huoni unauziwa maneno bila ushahidi?Ili muharibu ushahidi,we umekua ICC,UVCCM ivi huwa mnaakili ya kuvukia barabara,mbona mnaonekana hamna akili kabisa
Wewe endelea kulala Tu nonna bado upo kwenye TANZANIA Ile ya Miaka 60...Nini kinamzuia huyu jamaa kuweka ushahidi anao uimba kila mara. W
Hamnazo wewe. Miili imezikwa kwenye makaburi ya halaiki misiba itakuwaje kila mahali? Pamoja na miili kuzikwa kwenya makaburi ya halaiki kwani huoni hiyo misiba inayofanyika kwa wale baadhi waliofanikiwa kupatikana?Watu elfu kumi na mtu mmoja kuuwa watu mia tatu??
Misiba ingekuwa almost kila mahali.
Kaongea hivyo ni kwasababu anataka identity yake isijulikane wasije wakammaliza kabla hajatoa ushahidimtu anajifanya anaongea kiswahili broken lakini unasikia kabisa lafudhi ya kinyiramba
Wanajifanya hawajui kilichotokeaHamnazo wewe. Miili imezikwa kwenye makaburi ya halaiki misiba itakuwaje kila mahali? Pamoja na miili kuzikwa kwenya makaburi ya halaiki kwani huoni hiyo misiba inayofanyika kwa wale baadhi waliofanikiwa kupatikana?
Halafu Bado tuna Watanganyika wenzetu (CCM) hawalioni hili kweli?Wakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini.
1.Ushahidi wa Video
2.Ushahidi wa picha za Satellite
3.Ushahidi wa simu za maagizo kutoka juu zilizorekodiwa zikiamuru mauaji na watu kupigwa risasi.
4.Ushahidi wa Viongozi wa Kmkm wakipongezana yupo mmoja anakiri kupiga risasi watanganyika zaidi ya 300 yeye mwenyewe binafsi
5.Ushahidi wa Mazungumzo kwa njia ya redio za upepo na Frequency
6.ID za maafisa usalama waliohusika mo29
7.Ushahidi wa kuhamisha pesa na miamala ya malipo kwa waliofanya huo unyama
8.Ushahidi wa kibayolojia na familia za wahanga.
Nimeattach hizo voice/audio aisee ni hatari tupu watu wana roho za kishetani hasa.
NB kama unatumia app ya jamiiforums ikigoma kufungua hii voice please fungua huo uzi kwa kutumia browser mfano Chrome
View attachment 3503995
Swali zuri, hana ushahidi wowote zaidi ya maneno matupu, wewe mwenyewe ulichonacho toka kwake ni maneno yake tu no evidence. Anawauzia watu matumaini hewa.Jiulize huo ushahidi wote kapata Kwa njia gani wakati hayupo hapa nchini?
Subiri uone moto wakeSwali zuri, hana ushahidi wowote zaidi ya maneno matupu, wewe mwenyewe ulichonacho toka kwake ni maneno yake tu no evidence. Anawauzia watu matumaini hewa.
Nina hakika kama Mange angekuwa na ushahidi anasoma jamaa, ungekuwa wazi mapema sana.
Endelea kula maneno Mkuu, siku ukishiba utauliza ushahidi kwa huyo jamaa.Subiri uone moto wake
Ukichunguza uvccm wengi,huwa ni wajinga kweli kweliCcm ni chama cha wapuuzi
Avatar yako,typing style,akili na uprimitive wako,unaangukia kwenye Uvccm,Endelea kula maneno Mkuu, siku ukishiba utauliza ushahidi kwa huyo jamaa.
Mbulula endeleeni kutumainia wajinga mitandaoniWewe Fala hata kirefu cha ICC hujui....hakuna MTU atapona mwakani