Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Nadhani unaona mambo yanavyokwenda malalamiko ya chini kwa chini. Ni vile watanganyika ni watu wa kuchulia poapoa.Dah wazee mumejisahau sana, Wazanzibar wanakuwa sahihi wanapolalamikia huu muungano. Kwa hiyo wao wawe hawaruhusiki kuwa Maraisi?
Wangekuwa wazenji kele zingekuwa nyingi sana. Kuwa mtanzania hakukuondolei uzenji wako. Pia kuwa mtanganyika ndani ya Tanzania hakukupi haki ya uzenji.
Pia fikiria, Mungu aepushie mbali muungano kuvunjika. Ikaja kuonekana mwaka fulani mzenji alifanya maamuzi yaliyoiathiri tanganyika pekee.