Hata Jeshi la Mgambo la Tanzania liko responsible kwa Rais wa Tanzania.
KMKM na JKU na Jeshi Usu kama Jeshi la TANAPA au la Wanyamapori
Kwa Mujibu wa Sheria Ipi?
Hili swala naliongea Kila siku na niliwahi kufanya Discussion na Pascal Mayala Na Wanasheria wengine humu Jf kuwa JKU na KMKm sio Migambo wala Mgambo Ni Paramilitary na auxilliary ambao ni dola kwa mujibu wa katiba ya zanzibar na wala Sio militia..
Zanzibar mwaka 2013 chini ya Rais Shein alianzisha Enforcements Agency chini ya JKU..
Ambayo Ni sawa na Polisi
Nachofahamu mimi, jeshi la mgambo, Jeshi usu (kwa sasa Jeshi la Akiba) linaongozwa na kuuanzishwa kwa sheria inayoitwa
THE PEOPLE'S MILITIA ACT NO.9 ya mwaka 1989,
kama ilivyofanyiwa marekebisho toka awamu hadi awamu ,pia wanaongozwa na sheria inayoitwa
THE PEOPLE'S MILITIA(POWER OF ARREST) ACT,1975 na mwisho
THE PEOPLE'S MILITIA(Compensation for injuries)ACT ya mwaka 1973.
Sheria hizi ni za zamani sana na zinakuwa complemented na sheria nyingine kama vile za halmashauri na ile inayompa mamlaka mkuu wa wilaya.Na People's millitia imekuwa defined kama;
Peoples Militia'' means an organized group of the people of the United Republic operating with the authority of and under the aegis of the Government and which is receiving any military
training or participating in any military, quasi-military or law enforcement exercise for the protection of the sovereignity of the United Republic or for the protection of the people or the property of the United Republic, but does not include the Police Force, any arm or branch of the Defence Forces, the Prisons Service or
the National Service.
Hakuna katiba Inayowatambua migambo Na kama wangetambulika kikatiba bhasi wangekuwa jeshi kamili..
Pia nakuomba Usome sheria ya majeshi na ulinzi wa Umma Sheria ya 1984 Na.15 ib.49 na Sheria ya 1992 Na.4 ib.36
Sasa Siku nyingine Uwe na Uhakika na unachokiongea