Huyo uliyemjibu hapo ana pointi; lakini pointi hiyo ilikwishapotezwa katika yooote yaliyofanywa katika miaka hii ya "Kero za Muungano" za upande mmoja kupamba moto; na hao hao akina Samia waliokuwa kwenye nafasi nzuri za kuzikabiri ndio wakawa wanazipalilia kwa kasi kabisa kero hizo.Miaka 60 hamkufanya kitu ndio iwe wiki moja ?
Muungano wa 1964, haukuwa na lengo la kuzipigia chepuo hizi kero. Lengo lake lilikuwa kuzififisha kadri ya watu walivyozoeana katika muungano wenyewe. Ni hizo hizo zilizo itwa kero, sasa ndizo zinazo umaliza muungano.