Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
zitto junior amekumaliza wala sina haja ya kukujibu tenaSidhani kama hii ni hoja ya maana nchini wakati huu. UZanzibari wa Rais Samia ni jambo lililo wazi kila Mtanzania mwenye akili anajua. Na si suala kabisa katika nafasi aliyopo. Ana stahiki zote. Yeye ni Mtanzania kamili; hajapungukiwa kitu hapo.
Sijui mleta mada unataka kuthibitisha kitu gani hasa hapa. Kama ni kumjibu Nape tu basi una kazi ngumu sana. Kuna mamilioni ya wehu nchi hii. Labda kama huoni tabu kushinda unajibizana na wendawazimu.
Kwa sisi wengine, tuwe wazi, unatupunguzia sana thamani ya JF kwa mada za aina hii kama vile vile anavyofanya Mwashambwa.