Ushahidi wa Talaka za Mamndenyi huu hapa. AUONE LADY DOCTOR

Mkuu karatasi zikikuishia nishtue nikutumie...ila usubiri mpaka Obama aondoke.....

Request granted! Hivi unaweza kunikumbusha kama kuna mke mwingine kwenye himaya yangu napaswa kumpa talaka? Nikumbushe please.
 
Sijaumia najua ni makaratasi tu hayo maisha yanasongaag andaa tu misitari.

Nilidhani ungekuwa ktk harakati za kuji-RIP ila nashukuru unatiwa nguvu na aliyeko juu.
 
harusi gani inaahirishwa bila sababu maalum nimenusa harufu ya promise to marry kugeuka kuwa concubine pole muolewaji.

Ni 7bu muhimu sana Asnam kuambiwa "nendeni mkamalize tofauti na aliyekuwa mkeo ndio mje hapa"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…