Ushahidi wa Talaka za Mamndenyi huu hapa. AUONE LADY DOCTOR


shemeji gani unaroho mbaya hivi, badala ya kunitetea mimi shemeji yako we unatetea watu baki

pacha wangu Passion Lady hebu njoo umkanye mumeo ananikera ati?
 
Last edited by a moderator:
shemeji gani unaroho mbaya hivi, badala ya kunitetea mimi shemeji yako we unatetea watu baki

pacha wangu Passion Lady hebu njoo umkanye mumeo ananikera ati?

honey kulikoni kumfanya hivi pacha wangu
hiyo mbona ni talaka tena haina rejea? Ruttashobolwa
usinichefue waaalah naapa ohooooo!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kaka umebahatika japo kushikana mkono na mkulu mmiliki wa buzwagi ?

Alivyomaliza bizness zake na dingi ya Mwanaasha alinibip nikampigia akanambia leo akimaliza mambo pale ubungo walipodeki barabara atawatuma skreti sevis na helkopta huku kwangu Lumo ili niende tukaongee nae kwenye manowari kule baharini.. afu anasema walivyoshuka tu eapot Sasha akasema anataka kuja kunisalimia babaake mkubwa ila wanausalama wakashauri iwe kesho... na mie barabara ya kuja home tumedeki nimenunua na tivii mpya ili Sasha akija ainjoi.... karibu sana.
 
Last edited by a moderator:

kumbe wamedeki na barabara ya ubungo? sipati picha nahisi ile barabara yenye jina la mkulu si mtakuwa mmeideki kwa ulimi ?sipati picha aisee
 
kumbe wamedeki na barabara ya ubungo? sipati picha nahisi ile barabara yenye jina la mkulu si mtakuwa mmeideki kwa ulimi ?sipati picha aisee

Wenzenu bongo tunapishwa adhabu hadi za kufua barabara.
 
Wenzenu bongo tunapishwa adhabu hadi za kufua barabara.
ngoja nikomae huku ughaibuni siku mambo yakienda vyema nitarudi tz na heshima tele. Mamndenyi utakuwa makamu wangu huyu bwana ndogo Baba V ntampa nafasi ya upendeleo awe japo waziri wa maliasili na utalii.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…