Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Naweka tu rekodi sawa mkuu, unaweza jikuta unarudia mkeka ule ule...ifu yu no wara am seying...
Hahaha hahaha Umenikumbusha wimbo wa Ferooz, akamtongoza Mara ya pili.....huu mchezo wa kubadili ID dah
 
Mkuu inabidi tuwe na kitengo cha kurekodi hizi case maana ni nyingi Sasa. Na zile za wanaotafut wachumba ni nyingi sana siku hizi
 
Rafiki...Mbona hujawahi kuniambia kama kuna michezo ya kulana humu..Miaka 11 niliokaa humu na mm si ningejilambia wawili watatu..

Tufute urafiki..
😂🤣🤣🤣🤣
 
Rafiki...Mbona hujawahi kuniambia kama kuna michezo ya kulana humu..Miaka 11 niliokaa humu na mm si ningejilambia wawili watatu..

Tufute urafiki..
Hahahaha... Ulikua wapi jamani!! Au? Kweli kweli 11 years umetoka kapa?! You can't be serious Rafiki siaminiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…