Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Sawa mkuu
 
Wanalambika sana ...ila nilishajaribu mkuu mara kadhaa ila sijawahi pata pisi ya maana nikaamua kukata tamaa kabisa...nyingine niliamua kuzikimbia kabla hatujakutana live...zimekaa hovyo sana au nilikuwa na bahati mbaya sijui
Pole mkuu
 
Mapenzi ya mtandaoni ni kuwa nayo makini sana mama wengi ni waongo waongo waweza kuta mwingine ameoa kabsa na anatafuta mchumba uku mtandaoni...anyway pole yake lkn
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…