Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Hapahapa mpaka kieleweke
 
Yeye si mchepuko sababu yuko kwenye process za ndoa
 
Jamani hadi huruma na kuzalishwa keshazalishwa.... Wanawake tujifunze jamani tusishobokee wanaume kiivo..mwanzo wa mapenzi utajiona wewe ndio wewe malaika akasome ila 18 zikifika ndio haya...... Wanawake wenzangu tusikurupuke kubeba mimba jamani..
Kuzaa ni choice mydia na pale hajabahatisha hata ningekua me mapacha namzawadia tu
 
Kutokana na pm yangu kufurika kwa onyo na ushauri kemkem nimewaelewa sitoweka id zao hapa wala picha l[emoji849][emoji849] ila mdogo wangu prisca na mary(kwamajina yenu halisi)mkiendelea mnachokifanya ntawafanya kitu hamtasahau na hivi bado wadogo hata vizazi vyenu vibichi msijishaue kupanda milima msiyoiweza mkashindwa kumaliza chuo bure na hivi kwenu hapa kimara tu[emoji41][emoji41]
 
Wengine hatujaelewa
😳😳😳😳

#YNWA
 
Prisca na Mary acheni kiherehere hahahahahaaha JF inanifanya nianze weekend vizuri, na ada nimemaliza kulipa imebaki pesa ya kwendea Kaskazini kwa Krismasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…