Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Wenzio tunapambana huku we upo kwenye uzi wa Sefika utajua hujui😬😬😬😎😎
Sikuwa hewani muda kidogo ❤️Usiku huu kama bahati nikasema ngoja nisome offline 🙆‍♀️kwenda live chat mamaaaa ndo haya sasa nikiview picture inaniambia nilog in🥺namna nikakosa ikabidi nilog in tu
 
Ataree
Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi.

Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni Jf na maisha yameendelea kwa mahaba na bashasha kemkem chaajabu bibie kagundua Bwanajf ana account nyingine tofauti na waliyopatiana na anaendeleza kuwalamba alolo mabinti wa jf kama kawaida.

Nimeombwa ushauri na me nikaamua kulileta humu labda naweza nikapata chakuongezea kwenye kumshauri

Note,
Bibi jf ni mke mtarajiwa + mjamzito wa Bwana Jf.View attachment 1998429
sanaaaa
 
Sikuwa hewani muda kidogo ❤️Usiku huu kama bahati nikasema ngoja nisome offline 🙆‍♀️kwenda live chat mamaaaa ndo haya sasa nikiview picture inaniambia nilog in🥺namna nikakosa ikabidi nilog in tu
Ukuje umfahamu shemeji
 
Seriously mpaka sasa bilabila??? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mary bonge la mwanamke ana mwili unashawishi balaaaa!! Ana hilo trako linaonekana lainiii afu limenonaaaa[emoji12][emoji12]
Afu yule Merry mbona ana fanana nawe mgongoni sio Wewe kweli 😜😜😜
 
Afu yule Merry mbona ana fanana nawe mgongoni sio Wewe kweli [emoji12][emoji12][emoji12]
Weeeeeeeeeeeeeehhh mi kijeba chuo nilimaliza ten years back mgongo soft kama ule nautoa wapi!...ile shepu niwe nayo nitambe!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji12]
 
Back
Top Bottom