Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

Usifosi mapenzi unapofeli ni unapoendelea kumtafuta kichwa yake inazidi kuumuka kwa sifa. Acha kumtafuta alafu miezi sita yote hiyo hujala unategemea asikuache?
Mapenzi na ulokole haviendi sambamba ungepiga hiyo kitu hainaga ulokole, wewe ukileta ulokole kuna muhuni anajipigia kiroho safi
 
Wewe mpumbavu kazana upate GPA kali achana na hao mademu. Miaka 23 bado mdogo sana.... una heartbreaks kadhaa kabla huja-settle kwenye hayo mambo. Acha upuuzi SOMA.
 
@The next JPM jpm hakuwahi kuteswa na mapenzi bali yeye ndo alikuwa anatesa mapenzi you get it if you don't get it forget about it
[emoji317][emoji317][emoji317][emoji317]
 
Sasa kama umeokaka wee mademu wa nini tena mzeya. Mademu raha yao kuwagegeda wee huwagegedi so kazana na kitabu tuu mwanawane.

Wanawake wenyewe miyayusho tuu mwanawane. Mbususu zao tamu ila miyayusho achana nao.
 
Piga shule mkuu😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…