Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

Pole sana kwa changamoto. Kweli binadamu tumetofautuana. Mungu kanipa moyo wa kupenda lkn si moyo wa kulamisha mtu anipende. Kama mtu kashakuambia uende kubali matokeo,,hakuwa chaguo lako. Utakuja kupata mwingine hadi utashangaaa nakujiona mjinga kwa nini hata ulikuwa unaumia kwa mtu yule.

Let it go. Maisha ni mafupi sana na yana thamani. Usikubali mtu mmoja tena mliyekutana ukubwani,,akuharibie future yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole na hongera kwa uvumilivu.
Usirudie vitu hivi;
- Kumuomba mwanamke penzi.
-Usikubali urafiki/ ukaka udada na mwanamke unayemtaka, kataa mwambie "hilo sitoweza" kisha achana naye.
-Kumpenda mwanamke ambaye hajakidhi/ kufikia viwango vyako.
-Usipende mwanamke asiyeonesha juhudi.
-Usimbembeleze mwanamke kurudiana.
-Usimlazimishe mwanamke kuwa naye, asipokukubali mwache kwa kuwa amepishana na dhahabu.

Cha kufanya;
  • Anza kuringia uanaume wako, jikubali.
  • Achana naye.
-Piga kitabu.
-Chombeza wanawake wengine.
- Ongeza thamani yako kama mwanaume, soma "Vitu 6 Vya Muhimu Kuzingatia Kuwa Mwanaume Wa Thamani Zaidi Kwenye Jamii Inayokuzunguka"

Tambua unaweza penda usipopendwa hivyo hilo jambo lisikuhangaishe, we songa na maisha. Ukiona unapata shida kumshawishi mwanamke ujue hastahili muda wako.
 
Mungu atakupa wakwako,piga kitabu huo ndio mkomboz wako,elimu haiwez ikakugeuka ila mwanadam huyuu ni kichaa atakuchakaz

Kaka nimeelewa ila sasa Kuna shida moja kidogo inaniumiza, Yan nahis zile sifa ambazo nazihitaji sitazipata kwa binti mwingine kaka
 
Kaka nimeelewa ila sasa Kuna shida moja kidogo inaniumiza, Yan nahis zile sifa ambazo nazihitaji sitazipata kwa binti mwingine kaka
Ako ka maumivu we kafurahie tu, kaone ni kama sehemu ya elimu ya mapenzi unayopata (iyo ndo ada ya mapenzi).
Alafu ebu soma ulichoandika kwa nguvu, mpaka kiishe nguvu au mpaka ujicheke.
Alafu jiulize "what if you're wrong?".
.
Jaribu kuongea na wanawake wengi zaidi ya unaoongea nao sasa.
 
Kumbe ata hujaizagamua af unawaza bro focus on your future kuna watoto wakali mbona wamejaa
 
Hovyo kabisa huna adabu, Yani kijana mzima unakuja kilialia hapa jf kwa sababu ya kuachwa na kimada. Usirudie tena
 
Acha utoto kuwa wewe wanawake wote hwa tena wanajuwa kupenda siku izi, usipoteze muda wako kumbembeleza mwanamke, kuna kibinti kilinibwaga nikaja kukabamba sehemu kipo na kibabu nikachoka nilimwonea huruma kwakweli, anatamani turudiane ila awezi

sema anaishia tu kunipiga vizinga nami nampa bila hiyana, saiv nina wanawake kumi kidgo na wote wananipenda nilitumia muda kubembeleza ile mbwa hadi kesho naujutia muda wangu sana sana
 
 
Kwani umeshakula hata trip moja?
 
Umemla halaf unamlilia? wenzio tukipiga tu na blacklist inamuhusu,hivyo ni vyombo vya starehe kama umepiga achia na wengine wale
 
Kaka nimeelewa ila sasa Kuna shida moja kidogo inaniumiza, Yan nahis zile sifa ambazo nazihitaji sitazipata kwa binti mwingine kaka
Na unajiita next JPM emu maliza kwanza shule ndo ujue sifa za mwanamke unayemuhitaji,hakupendi ulitakaje?
 
Unaona shida,ikiwa hivyo ni bora kwani dada na kaka hawa komoani,watasaidiana katika shida na raha,tofauti na michepuko au wale wa tuma na yakutolea🤔
 
Big up comment yk iwekwe muhuri w moto ata mm Nilikuwa kama uyo Dogo Apo juu ila nilivyo fikiri ukomo nikapotezea sasaivi yy ndio unitafuta
 
Nilitaka kukuuliza kama umepiga kumbe umeokoka...sasa ni hivi mtumikie bwana hayo mengine achana nayo.
 
Yatapita ipo siku utayasahau tu, kwanza ndiyo kwanza unaanza mapenzi.

Ipo siku utajua ulikuwa unalia bure tu 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…