Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

Big up comment yk iwekwe muhuri w moto ata mm Nilikuwa kama uyo Dogo Apo juu ila nilivyo fikiri ukomo nikapotezea sasaivi yy ndio unitafuta
Sasa hivi huwa nawafungia vioo na vumbi wanakula, wamepauka balaaa 😁😁😁 sema huwa sina dharau na wapa hai na stori mbili tatu...... lakini mapenzi ndiyo no nishapata mweza.
 
β€œβ€¦Sijawahi kufanya nae mapenzi…”

Hapo ndipo ulipofeli

Halafu sahau kuhusu moyo wako unakwambia nini, hakuna mapenzi hapo mkuu jitahidi msahau
 
Ulokole na mapenzi haviendani umekosea big time kutomkula

Huo ukaka na udada anatafuta uchochoro wa kuendelea kunufaika na vijipesa vyako (kama unavyo) huku anakimbia wajibu wake (kukuhandle na kukupa punani)

Huo mkataba ni wa kitapeli achana nao kabisa mkuu

Cha kufanya USIMTAFUTE

unapo endelea kumtafuta jua unazidi kumfanya akuone huna thamani na bichwa lake linazidi kutuna

Japo wewe itakufanya ujisikie vizuri ila athari zake ni kumsukuma mbali zaidi

Acha MAWASILIANO NAE MARA MOJA
 
Kaka nimeelewa ila sasa Kuna shida moja kidogo inaniumiza, Yan nahis zile sifa ambazo nazihitaji sitazipata kwa binti mwingine kaka
Usiwe na wasiwasi mabinti wengi sana wana sifa Za kila aina

Kamwe usijidanganye eti huyo ndiyo mwenye maadili sana

Akikutana na vijana wa mataifa hayo maadili yanapotea trust me
 
Punguza hasira za kuachwa. Kisicho riziki hakiliki kijana.
 
The single most common reason women leave their husbands, is because they are bored and they think they are capable of getting a man who is better.

Usually they find out, after it is already too late, that they were wrong.
 
Lengo la uhusiano wa kimapenzi
ni kufanya mapenzi.
Kwa kuwa umeokoka,na hutaki
kufanya uzinzi,uhusiano wenu
ni lazima uwe kama atakavyo huyo mdada.
Soma kwanza.
 

Ahahaha mzee una mbinu za cuba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa madem sjui vipi anataka kula tu kuliwa hataki
 
Kosa lilianzia apo ambapo hukufanya nae sex nakushauri soma achana na mapenzi kwani uwezo wako ni mdogo sana
 
Huyo alitegemea umgonge halafu wee unamletea mambo ya mpaka ndoa. Ndo hivyo umeshushwa cheo chap
 
Huyo dem sio size yako ndg kitendo cha kukuambia ubaki kaka manake uwe unakula mzg ila usiwe comited we kubali then mwambie utabaki mchepuko wa kuiba uone atakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…