Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
1.Jamaa yako ni kilaza plus.Kuna mjamaa mmoja yupo ameajiriwa sehemu rasmi ana sifa zote za kuwa na mshahara usiopungua 3m kwenda juu .maana anayo master ya fedha na anayo CPA kapata mwaka juzi lkn mpk sasa analipawa laki 3 .alikuja kwangu kuniomba ushauri nikamwambia poa nitakupa.maana yeye anataka aache kazi ili ajiajiri mwenyewe.
Hebu tumpe ushauri huyu mjamaa kabla ya kuacha kazi asije kufa njaa
Mie tokea nilivyograduate nikaitwa Graduate Engineer bado sikuona kuwa kuna chakula kinajileta Mezani chenyewe.
Bado naambiwa kuwa inatakiwa uandikishwe Kama Professional Engineer nikajiuliza kuwa kwa iyo hapa ndo maisha yatalainika Sana sawa na kufumbua jipu lililoiva.
Kwanza niliambiwa kuwa Soma nikasoma mpaka chuo bado nikaona maisha ni kuhangaika tu na Wala hayajalainika inabidi ukomae usiku na mchana Kama wataka zaidi ya kulipia bills zako.
Nikawaza kuwa ukishakuwa na mhuri erb bado utakuwa unawapa watu hela kule wanakula za bure sijui kisa ndo wanakupa mhuri.
Nikasema kuwa hapa nilipofikia Kama haitoshi kuyaona hayo maisha mazuri basi hata nikiwa na mhuri hakuna kitaakachokuja bure.
Kuna mtu Ana pe yupo na wahindi na jamaa ni mzima mie ni kilaza kwake zaidi ya Mara Mia.
Ila wahindi wanamlipa laki nane kwa mwezi mpaka huruma.
Anadai Kuna muda anasimamia design ya structures Fulani afu kampuni inalipwa 200M afu yeye anaambulia laki 8 kwa akili yake ujue.
Msomi na mkulima ni watu wa kupangiwa Kama watoto ama wanafunzi.
Yaani unalima na unasoma kwa juhudi zako afu unapangiwa utauzaje ama utalipwaje Bei gani.hata mazao hayo utauzia wapi usipeleke nje.yaani ni mwendo wa utumwa.
Bado ukifanya kazi unaambiwa kuwa wewe ni mtt utajisahau kujitunza utakapostaafu so lete tukutunzie hela zako utakapoacha kazi tutakuwa tunakupa kidogo kidogo mpaka ufe Mana ulishazoea kutunzwa Kama mtt.
Haya maisha niliyachukiaje. Yaani unitunzie hela zangu Kama pension mbona wabunge wao hamwatunzii ama una mpango wa kunifanya niwe tegemezi mpaka naingia kaburini.
Nikaona sio Aina ya maisha niliyokuwa nayawaza nilipokuwa mdogo.
Nashukuru mpaka saivi sijatunziwa hela na hao wanaonipenda nimejitunzia mwenyewnit
Hakuna mhasibu wa serikali mwenye CPA anayelipwa laki 3. Hapo unatudanganya.Nitammwabia lkn ameniambia yeye hapo ktk ofc ya serikali anategemewa sana sana hasa ktk kuandaa maheaabu ya mwaka na ni mtaalamu sana maana anajua sana kompiter ana jua mifumo ya fedha kisawasawa.na kashajitahidi sana kutaka kuhama hapo alipo lkn ofc yake imemkazia akiandika barua ya kuhama wanamkatalia katakata.anatokaje hapo?
Ndio yeye take home hiyo anasema.maana tangu apate cpa hajapanda mpk jana naongea nayeHakuna mhasibu wa serikali mwenye CPA anayelipwa laki 3. Hapo unatudanganya.
Mhasibu wa halmashauri bila CPA basic 710,000/=Hakuna mhasibu wa serikali mwenye CPA anayelipwa laki 3. Hapo unatudanganya.
Wakati nafanya tafiti fulani flani, nilikutana na point muhimu sana; KuwaKuna mjamaa mmoja yupo ameajiriwa sehemu rasmi ana sifa zote za kuwa na mshahara usiopungua 3m kwenda juu .maana anayo master ya fedha na anayo CPA kapata mwaka juzi lkn mpk sasa analipawa laki 3 .alikuja kwangu kuniomba ushauri nikamwambia poa nitakupa.maana yeye anataka aache kazi ili ajiajiri mwenyewe.
Hebu tumpe ushauri huyu mjamaa kabla ya kuacha kazi asije kufa njaa
Hapo mkuu siju8 lkn analalamika kila kukichaKuna hela ya kulipwa na hela ya kujilipa, jaribu kuchunguza tena anajilipa kiasi gani
Nishaushtukia huu mchezo yani natakiwa kuzeeka nasoma ili nipewe vyeti na kutambuliwa na bodi. Nimeanza darasa la kwanza mwaka 2006 mpaka leo nasoma weee alafu ukute nikiajiriwa nitalipwa hela ya kunifanya nisife, hiyo hiyo wakate kodi, wanitunzie na niwalipe bodi eti sijui wanisimamie na niwalipe HESLB. Sasa kama miaka 15 ambayo nimesoma mpaka leo ina tija kidogo hivi kuna haja gani ya kuongeza sijui Master's. Kwanza nyumbani kuna Master's na hazina maisha.Mie tokea nilivyograduate nikaitwa Graduate Engineer bado sikuona kuwa kuna chakula kinajileta Mezani chenyewe.
Bado naambiwa kuwa inatakiwa uandikishwe Kama Professional Engineer nikajiuliza kuwa kwa iyo hapa ndo maisha yatalainika Sana sawa na kufumbua jipu lililoiva...
Sure we don't pay you by hour but what you add or produce for that an hour.1.Jamaa yako ni kilaza plus.
2.Hana jipya lolote analoongeza kwenye kampuni, ni kati ya wale ambao huwa wanaitwa "seat warmers", he does not add any value to the company.
3.Watu huwa hawalipwi kwa thamani ya vyeti/elimu zao au uzoefu, bali huwa wanalipwa directly proportional to the value they add to the company...
Sure formal education can give you a living but self education gives you fortuneNishaushtukia huu mchezo yani natakiwa kuzeeka nasoma ili nipewe vyeti na kutambuliwa na bodi. Nimeanza darasa la kwanza mwaka 2006 mpaka leo nasoma weee alafu ukute nikiajiriwa nitalipwa hela ya kunifanya nisife...
Hakuna mhasibu wa serikali mwenye CPA anayelipwa laki 3. Hapo unatudanganya.
Pole yake sana...
Wenzake wanalipwa Million4.5 take home...