nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
- Thread starter
-
- #21
Asante sanauna account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.
jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.
marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
Ina risk kubwaMkeka wa 2m ukosi 3B
Kila la heri Utajiri upo kwenye kubet now[emoji3046]
Nunueni kuku mle mfurahi..Hello.
Nina million 2.
Nina mke na mtoto.
Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.
Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.
So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.
Nataka niende mkoa
Msaada Jamanj.
Kama upo Dar fuata huu ushauri..una account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.
jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.
marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
Offcource katika Maisha yangu nishawahi Fanya biashara kadhaa.
(1)kuuza Pochi za wadada na viatu
(2)kuuza duka la Dawa.
Kwa sasa nataka biashara ya maisha Tu.
At least Elfu 20 per dai
Umewahi miliki bajaji?una account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.
jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.
marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
Niko DarUpo Mkoa gani?
Huu ushauri nina amini utawasaidia wengi pia. Hasa wakazi wa Dar.una account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.
jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.
marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
Pumbafu [emoji14][emoji14][emoji14]Nunueni kuku mle mfurahi..
Zikiisha katafute tena.
Tatizo dagaa wanabadilikaga na kuwa pumbaAnza na mtaji wa laki sita Hadi nane chukua dagaa mwanza peleka mpanda baada ya miezi 4 nitafute unipe shukurani zangu
Offcource katika Maisha yangu nishawahi Fanya biashara kadhaa.
(1)kuuza Pochi za wadada na viatu
(2)kuuza duka la Dawa.
Kwa sasa nataka biashara ya maisha Tu.
At least Elfu 20 per dai
Naomba uzoefu na maisha ya Mpanda Katavi hasa fursa na nkAnza na mtaji wa laki sita Hadi nane chukua dagaa mwanza peleka mpanda baada ya miezi 4 nitafute unipe shukurani zangu
Mpaka Sasa nipo kwenye hiyo fieldUmewahi miliki bajaji?
Umewahi fanya biashara hii?
South Africa Kuna biashara nyingi Sana za bei rahisi wacheki hao watakuinua kiuchumu Nunua uliza bidhaa kutoka South Africa niko Hapa nitakupa be...Hello.
Nina million 2.
Nina mke na mtoto.
Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.
Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.
So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.
Nataka niende mkoa
Msaada Jamanj.
Si kweli. Acha kumkatisha tamaaNunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Iyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo