Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

Asante kwa shule wakili msomi.
Pia unaweza ukapanga siku ukachambua mada moja tu kuhusu sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
ntajaribu mkuu, but hivi vitu vinakatisha tamaa, mfano nimejitolea tu hapa kushauri watu bure lakini wameibuka watu wengine hao na kuanza kuaribu uzi utadhani hapa mim labda nalipwa.
 
We mwehu kweli kweli naona nisikujibu tena mana kichwa maji bumunda...

Nyie watu kama nyie ndo inabidi majaji wawapige suspensions mrudi tena shuleni hamfai kupractice law.
hahahahaha mimi mwaka wangu wa kwanza kuanza kupractice tayari nilipeleka kesi mahakama ya rufaa na kwa maombi maalum nikakubaliwa kusimama mule, though sheria inataka wakili aanzie miaka mitano.
 
Shukrani Sana mkuu kwa ufafanuzi,nilikuwa nakasirika sana hakimu akisema hautakiwi kujibu chochote kumbe lengo ndio hilo,Kudos!
 
Ni hatua gani za kufuata ili nilipwe baada ya mshatakiwa aliyenigonga na gari kushindwa kesi ya kuendesha gari kwa njia ya uzembe amekwenda jela mwaka mmoja
well hio hua ni hatua nzuri sanaa, cha msingi unapaswa kuchukua hio judgement ambayo ilimkuta na hatia huyo mtu ktk trafic case hio ambayo alikutwa na hatia, then unaenda kufungua kesi ktk mahakama ya hakimu mkazi kudai fidia kutokana na ajali iliyosababishwa na uzembe barabarani.
 
Mimi nataka kujua haki za raia kipindi unatamatwa na polisi,

Na ukifikishwa kituoni kipi kinatakiwa nifanye na nisifanyiwe nini? maana kuna kupigwa siunajua wengine hatujui kunyenyekea na polisi wanapenda tuwaone superior.
Unaweza kukataa kutoa maelezo mpaka ufanye mawasiliano na mwanasheria wako au ndugu.. Askari anapaswa ajitambulishe anapokukamata.. 3. Unapokabiridhi mali zako lazima uorodheshe mali zako kwenye detention Register,na nakala unabaki nayo. Na hyo detention isainiwe na askari wa Zamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi did you study law kweli ww?

Unaonekana mtupu sana wewe.

Nimekuuliza iwapo Government wameingia Nolle kwenye incurably defective charge....nini remedy kwa jamaa wa defense???

Jibu swali sasa
 
Assume kwamba sitaki kutoa maelezo yoyote kabisa isipokua personal particulars apo je?
 
Ivi did you study law kweli ww?

Unaonekana mtupu sana wewe.

Nimekuuliza iwapo Government wameingia Nolle kwenye incurably defective charge....nini remedy kwa jamaa wa defense???

Jibu swali sasa
hahahahahaah certificate of law uliyoipata university of bagamoyo bado haiwezi kukusaidia lolote, kwaio pale haujanielewa sio?


hahahaha sasa pale juu napo ulisema sijajibu swali, alieuliza kasoma kasema ndio kitu alichokua anahitaji kujua, sasa angalia inavyosikitisha layman anaelewa haraka kuliko wewe mwenye cheti, its so sad, sijui diploma utaelewa vp? degree ndio utaweza kweli?


sidhani kama nnaweza kulijibu swali lako lolote, na matter of the fact nimeamua nisisome text yoyote utakayo i type hapa.
 
ntajaribu mkuu, but hivi vitu vinakatisha tamaa, mfano nimejitolea tu hapa kushauri watu bure lakini wameibuka watu wengine hao na kuanza kuaribu uzi utadhani hapa mim labda nalipwa.
Sio tunaharibu kmk unalisha wadau matango pori unataka tukuache tu uwalishe mpk wavimbiwe???
 
255 ya CPA inasemaje kwani?
 
Assume kwamba sitaki kutoa maelezo yoyote kabisa isipokua personal particulars apo je?
hahahahaha wewe una trauma, iv uko sawa kabisaa? swali ilo aliliiuliza mtu mwingine, na huyu alimjibu huyo mtu, then wewe unaliendeleza tena kwa niaba ya yule alieuliza mwanzo wee unajua yule alieuliza alikua anataka kujua nin? kwanini na wewe usiulize tu swali lako? alaf inakuaje wewe unataka kujibu humu kila sms?

sikiliza, kuna watu wana hitaji msaada na wako serius, ni kwanini huu utoto unaoufanya ktk huu uzi usipeleke ktk forums zingine? mbona kuna udaku, hoja mbali mbali nk. nenda huko.
 
Sio tunaharibu kmk unalisha wadau matango pori unataka tukuache tu uwalishe mpk wavimbiwe???
hahahahaa okei nakupa laki moja hapa hapa kama kuna sehemu nimekosea au nimeshauri sivyo then hawa ni mashahidi wanaona, natoa kweli.

then, mim hapa nimejitolea tu bure silipwi, basi nakuomba wewe endelea kuwajibu hawa watu, naomba nikuachie uzi uendelee nao, mim ntafungua mwingine siku nyingine, huu uzi chukua kabisaa, wajibu wote, hahahaha
 
Kmk,
 
Muda ni leo Jumamosi mpaka jumapili tu (16-17 february 2019).



wakili.
Nimefunguliwa kesi ya madai iliyotokana na traffic case na imekuja kwangu binafsi na kwa bima, je nini cha kufanya hapo?
 
Dogo kuanzisha uzi jf wala hakuhitaji malipo
Kwanini usianzishe uzi wako wadau wapo watakufata tu kuuliza shida zao. Apa unatuzingua tu ata km kuna sehem mtoa uzi ameteleza tunarekebishana kisomi sio kuattack mtu.
Huo unaofanya ni utoto na sio usomi.
Damn it
255 ya CPA inasemaje kwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo wale wa ndioooo.

Kwanza mimi sio "msomi" kama wewe na yeye.

Ila kama analisha matango pori lazima aambiwe ili asipotoshe wadau au unataka kusema mm sio mzalendo??
 
Reactions: Ctr
Uzalendo my ass
Wewe unajua kila kitu???
Wewe unaweza kufundisha mtu na akakuelewa kweli!?
Atujakataa kupinga ila unapopinga elimisha sio unamcrash mtu alafu umekaa kimya tu... unategemea tukuelewe vip
Nyie ndo wale wa ndioooo.

Kwanza mimi sio "msomi" kama wewe na yeye.

Ila kama analisha matango pori lazima aambiwe ili asipotoshe wadau au unataka kusema mm sio mzalendo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…