Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa.
Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa kupoteza maisha yake, nashauri chama chake cha CHADEMA kwa kushirikiana na wanaharakati wa haki za binadamu, wamuandalie tuzo ya kutambua juhudi zake na mchango wake katika mapambano ya kupigania haki za wengine pamoja na kushiriki siasa za mapambano zinazolenga kuikomboa nchi yetu na utawala huu wa CCM usiofaa hata kidogo kuendelea kubaki madarakani.
Mdude ni mwanasiasa na pia ni mwanaharakati wa kupigania haki za watu wengine. Atambuliwe sasa.
Tumpe mau yake angali yu hai.