Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

sema na moyo wako kwanza maana naona kama bado unampenda vile ,, ila ingekua ni mimi nisingerudiana naye tena
 
Pole sana watu wanakwambia umuache Mzee wa galafu hawakupi alternative.
Njoo kwangu upate pumziko mtoto mzuri.
Hustahili kufanyiwa ubaya wa namna hiyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimwkuwa addicted na vibabu kwakweli
Yale mahaba ya miaka 3 yalikuwa houuut
 
Huwa anaongea sana tu kwenye simu kwamba asamehewe.
Hata msiba wa mamangu alikuja na kote alikuwa anaomba nirudishe moyo nyuma
Achana nae huyo mzee. Kwa maelezo yako inaonekana wewe ndio unajipendekeza kwake mpk umemfuata mkoa alipo ili kupima upepo. Mama yako alikuwa hamtaki na aliangaika mpk kukutafutia kazi sehemu nyingine kukuepusha.

Laana ya Marehemu itakutafuna ukirudiana nae mark my words.
 
Dah unanitisha asee usimtaje maza angu
 
Hata ushauri wa mzazi pia unaweza kuwa challenged kwakuwa nae ni mwanadamu.
Mbona mzazi anamkatalia mwanae kuolewa au kuoa mtu flani na watu wanashauri tofauti ?
Hapa ni kuangalia logic pia ambayo ukweli kwa hayo yote sipaswi kirudi huko

If you think kuna logic ya kurudiana naye, then wewe unafikiri kwa moyo na hisia, not kichwa and common sense
 
Back
Top Bottom