USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

Na uwakumbushe kuyadai magazeti na majarida yote yaliyowahi kutumia picha au maneno aliyowahi kuyatumia.Mtunza "regase"!
Ule ulikuwa ukosoaji akiwa madalakani na ulikuwa na afya Kwa taifa, hiki kitabu kimeitumia picha ya rais kinyume cha lengo la kitabu, IAM THE STATE kilitakiwa kichambue mazuri ya kuigwa na mabaya ya kupingwa kingeonekana kuwa kinawahusu watanzania wote.
 
JPM anavuna alichopanda. Angekuwa rais mzuri watu wasingeandika mabaya juu yake kwa kiasi hicho. Hilo ni fundisho nawe mleta mada acha udikteta, hatupo kwenye enzi za JPM acha watu watoe maoni yao katika nchi huru.
Kama ni maoni yasingetungiwa kitabu lakini lengo kuharibu taswara mzuri ya JPM ndio maana hata waliokitunga wameonyesha chuki zao za waziwazi Kwa jpm
 
Siyo "madalaka" na wala si rais tena!Ulitaka wachambue mambo bila picha yake?Watu wangejuaje kama ni yeye?
 
Kama ni maoni yasingetungiwa kitabu lakini lengo kuharibu taswara mzuri ya JPM ndio maana hata waliokitunga wameonyesha chuki zao za waziwazi Kwa jpm
Kwani huzuni yako imelalia kwenye picha au kitabu?
NB:Wewe ni Mwanaharakati Mwema au Mwanaharakati huru aka chuchunge?
 
Wewe kama una Akili timamu sidhani kama unaweza kushindwa kujua maudhui ya mada hii kisa neno legancy na legacy wakati habari nzima inajieleza.

(1)Mfano: mwalimu alikuwa anawafundisha wanafunzi kulima.

(1) mfano:mwalimu alikuwa anawafundisha wanafunzi kurima.

Mwanzo wa sentensi unafuta kosa la neno 'kurima' Kwa kuwa Lina maana isiyoendana na sentensi husika, hivyo Ni wazi utakuwa umeelewa alilenga nini.

Nb: nimekubali kukosolewa.
 
Siyo "madalaka" na wala si rais tena!Ulitaka wachambue mambo bila picha yake?Watu wangejuaje kama ni yeye?
Zile ni chuki binafsi matumizi ya picha ya marehemu Kwa maslai binafsi hayakubaliki Kwa kuwa tuhuma zilizoainishwa hawezi kuzijibu hivyo ili watunzi WA kitabu kile wasionekane Wana chuki binafsi wauchambue uongozi wake Kwa mabaya yake na mazuri yake.
 
Bila picha,hata ya kuchora,ya marehemu?Wasomaji watajengaje picha na hoja vichwani mwao?
 
Kufanikiwa kupitia mgongo wa chuki binafsi za kutumia picha na maudhui ya kuegemea upande mmoja wa shilingi.
Kumbe na wewe ni sadist kama maliyemu?Wakipata mahela kwa mauzo ya hivyo vitabu unaumia sana?Nuna hadi mdomo uwe mrefu kama wa fisi.Vitabu vitanunuliwa tu.
 
Like

Pale wanalenga biashara Yao Kwa kuwa kutumia picha ya JPM kwenye kava wanaamini itawavutia watu wengi Kununua kutokana na umaalufu alionao.
Unaamini picha ndiyo inavutia zaidi?Kumbe unapaswa nawe ukinunue hicho kitabu ili uwe unakesha unaiangalia picha ya "shujaa" wako.
 
Mungu ni baba yako?
 
Wewe mtetezi wa mwendazake mbona unazidi kujiaibisha? Umekosea kiingereza halafu unatoa mfano wa kiswahili? Akili zako ziko sawa?
 
Acha kutetea upumbavu. Nenda kasome MEMKWA au QT ndiyo uje humu. JF siyo ya wajinga
 
Ok narahisisha swali, mtu gani maarufu au mwenye pesa anayemkubali huyo mtu wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…