USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

Na kabla hujasoma historia yoyote, Soma historia ya aliyeiandika (mwandishi). Ukiona mwislamu ana andika kitabu kuhusu ukristo, hata kabla ya kukisoma unajua alichokiandika!!
 
Wakashtaki cover picha au maudhui ya kitabu? Washtaki kwamba picha ya public figure imetumika kwenye kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya public?

Vipi kama kitabu kingekuwa cha mapambio na sifa, bado ungeshauri wakashitaki? Na mwisho, hivi picha ya president wa nchi, ni mali ya nani? Ya familia yake? Ya serikali? Ya kila mwananchi?
Mburula hawajui hayo mambo
 
Mwaka 2030 Mungu akijalia kesi itafunguliwa na wahusika watauziwa mali zao zote.
Ile siyo picha ya Magufuli in person isipokuwa ya head of state, public figure. Hata kesho you can use picha ya Idi kusignify dikteta aliyeewahi kutokea Uganda. Shida iko wapi?
 
Yes yupo sahihi hayafiki 50, hivi 2050 unadhani Tanzania itakua hii hii? We si unaona Nyerere kafanya makubwa lakini JPM amekuja mkasema hakuna Rais kama JPM amewahi tokea Tanzania!! So kufikia 2050 miundombinu obvious itakua mingi, pengine tumerusha satellite, tunachimba madini na mafuta wenyewe, tuna submarines n.k unadhani tutamkumbuka JPM kwa lipi Sasa?

Grow up, JPM is overrated for nothing
Wao wanamuona Ngosha km MunguMtu vile eti aliyoyafanya yatadumu milele.
Kitakachodumu milele km legacy yake ni aliyowafanyia kina saa8, Lisu nk.
Hayo hajatofutika kamwe
 
Ukiona hadi kinatungwa kitabu kabisa cha kueleza mabaya basi mazuri yatakuwa mengi yatakuwa ndio yenye kujulikana zaidi ndio maana ukaonekana uhitaji wa kueleza na hayo mapungufu.
 
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.

Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.

Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.

Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.

Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.

Ombi Kwa familia ya magufuli Kwa niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.

Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.

--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
Naunga mkono hoja.kwanza waliyondika kitabu kile ni wapumbavu kanisa.wanasahau kuwa marehemu aliacha watoto ,mke ,ndugu jamaa na marafiki na mashabiki wengi sana.unatengeneza chuki za kijinga then ikikitokea umepatea na mabaya utasemaje? Nashangaa waziri wa habari amekaa kimya kana kwamba hakuna Jambo baya limefanyika.
 
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.

Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.

Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.

Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.

Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.

Ombi Kwa familia ya magufuli Kwa niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.

Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.

--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
Zimeandikwa humo ndani habari za mbuga ya wanyama ya Chato?
 
Sure na hiyo itafanyika as soon as possible subject to the existing law before it is scrapped to defend the crooks
Reference:
Defamation
MediaNewspaper Act
i) Section 35(1) “any matter which, if published, is likely to injure the reputation of any person by exposing him to hatred, contempt or ridicule, or likely to damage any person in his profession or trade by an injury to his reputation, is defamatory matter”.

ii) Section 35(2) “The matter referred to under subsection one (1) shall qualify to be a defamatory matter even when it is published against a deceased person.”

iii) Section 36 (1) A person shall be deemed to make publication of a libel if that person causes the print, writing, painting, effigy, or other means by which the defamatory matter is conveyed, to be dealt with, either by exhibition, reading, recitation, description, delivery or otherwise, in a way that the defamatory meaning thereof becomes known or is likely to be known to either the person defamed or any other person.

iv) Section 38(3) “Nothing in this section shall exempt any person from any liability of a civil or criminal nature under any other Part of this Act or under any other written law if the publication of a matter alleged to be absolutely privileged is prohibited or the relief to a person injured is available under the Constitution of the United Republic.”

Mwenye privilege na vitendo hivyo hapo juu ni Rais, Serikali, Bunge, Spika labda hao waandishi waliidhinishwa na mamlaka tajwa hapo juu.
DPP atang'olewa kisha mashitaka dhidi yao yatarindima
 
Hujui uwazalo wala usemalo wewe!!

Hebu fahamu haya yafuatayo;

1. Hayati Rais John P. Magufuli alikuwa Rais wa Tanzania. Alikuwa ni mali ya kila mtanzania. Alikuwa ni mali ya umma na hata sasa bado ni mali ya umma. Familia yake haina hati miliki ya jina lake na uliokuwa u - Rais wake...

2. Kwa mantiki hiyo, mtu yeyote aweza kuandika chochote kum - describe Rais aliyepo au ambaye amewahi kuwa Rais kama alivyo John P. Magufuli kuhusu tabia yake, matendo yake, aina ya uongozi wake nk nk ili mradi hakuna sheria ya nchi inayokiukwa na huyo aandikaye

3. Kama wewe unaona ameandikwa kwa mabaya tu na wewe hujapenda au hupendi na unaujua upande mwingine mzuri kumhusu, fanya utaratibu uandike kitabu chako kueleza mazuri yake..!!

Tutakisoma kitabu chako na wanaotaka aandikwe Kwa mabaya tu watachukia vile vile kama ambavyo wewe umechukia kuona hajaandukwa Kwa mazuri..

Yeah, it's simple just like that..!!
Wewe kiburi chako kina mwisho

Defamation
MediaNewspaper Act
i) Section 35(1) “any matter which, if published, is likely to injure the reputation of any person by exposing him to hatred, contempt or ridicule, or likely to damage any person in his profession or trade by an injury to his reputation, is defamatory matter”.

ii) Section 35(2) “The matter referred to under subsection one (1) shall qualify to be a defamatory matter even when it is published against a deceased person.”

iii) Section 36 (1) A person shall be deemed to make publication of a libel if that person causes the print, writing, painting, effigy, or other means by which the defamatory matter is conveyed, to be dealt with, either by exhibition, reading, recitation, description, delivery or otherwise, in a way that the defamatory meaning thereof becomes known or is likely to be known to either the person defamed or any other person.

iv) Section 38(3) “Nothing in this section shall exempt any person from any liability of a civil or criminal nature under any other Part of this Act or under any other written law if the publication of a matter alleged to be absolutely privileged is prohibited or the relief to a person injured is available under the Constitution of the United Republic.”

Mwenye privilege na vitendo hivyo hapo juu ni Rais, Serikali, Bunge, Spika labda hao waandishi waliidhinishwa na mamlaka tajwa hapo juu.
DPP atang'olewa kisha mashitaka dhidi yao yatarindima
 
Wewe kiburi chako kina mwisho
Sina kiburi. Nasema kilicho halisi..
Defamation
MediaNewspaper Act
i) Section 35(1) “any matter which, if published, is likely to injure the reputation of any person by exposing him to hatred, contempt or ridicule, or likely to damage any person in his profession or trade by an injury to his reputation, is defamatory matter”.
Kwa hiyo kilichoandikwa na hawa waandishi unadhani kina;

✓ Injure reputation ya Magufuli?

✓ Sababisha hatred, contempt or ridule dhidi ya Magufuli?

✓ Damage profession & trade due injuries to the reputation of Mr Magufuli?

Really? Really?............ How exactly is this ndugu Intelligence Justice?
ii) Section 35(2) “The matter referred to under subsection one (1) shall qualify to be a defamatory matter even when it is published against a deceased person.”
Hata kama ni hivyo, huyo "deceased person" atajwaye hapa ni mtu kama wewe Intelligence Justice na kamwe sio mtu mwenye au aliyewahi kuwa na madaraka ya u - Rais kama ndugu yenu hayati John P. Magufuli..!
iii) Section 36 (1) A person shall be deemed to make publication of a libel if that person causes the print, writing, painting, effigy, or other means by which the defamatory matter is conveyed, to be dealt with, either by exhibition, reading, recitation, description, delivery or otherwise, in a way that the defamatory meaning thereof becomes known or is likely to be known to either the person defamed or any other person.
Soma hapo juu☝️☝️☝️☝️

Na unadhani walioandika kitabu hii ni wajinga sana hawaelewi hii sheria?
iv) Section 38(3) “Nothing in this section shall exempt any person from any liability of a civil or criminal nature under any other Part of this Act or under any other written law if the publication of a matter alleged to be absolutely privileged is prohibited or the relief to a person injured is available under the Constitution of the United Republic.”
Unadhani walioandika kitabu hiki ni wajinga hawajui sheria hii?

Likely wewe ndiye....
Mwenye privilege na vitendo hivyo hapo juu ni Rais, Serikali, Bunge, Spika labda hao waandishi waliidhinishwa na mamlaka tajwa hapo juu.
DPP atang'olewa kisha mashitaka dhidi yao yatarindima
Labda kidogo kwenye aya hii umeandika ukiwa in your right senses..

Bado swali liko palepale, kwamba, unadhani hawa ndugu hawana akili wa ufahamu wa kuyafahamu haya?

Generally, there's no defematory act in that book. I am pretty sure that, all which is written in that book is nothing but truth and only truth..!!

Good night...!
 
Wakina kabendera hao ndio waasisi wa hii kitu
 
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.

Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.

Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.

Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.

Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.

Ombi Kwa familia ya magufuli Kwa niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.

Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.

--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
Ni swala la muda tuu. Watalipa gharama. Kulia kupokezana 😂😂
 
Kwa lugha ya mtaani -Bila ya hiyo picha wasingeweza kutoboa-hawatoboi.
Pili, Picha hiyo iliyotumika imetumika vibaya, inamwonyeaha Hayati Raisi kama mwanajeshi wakati kiuhalisia hakuwa Mwanajeshi A clear misrepresenation to sell or trade a book. Ni ulaghai flat out!

Mpiga picha ni wa nani? Kama picha ni ya mpiga picha wa Serikali basi hiyo siyo ya Biashara iwapo tu wametoa ridhaa na wao wanapata faida ya mauzo ya kitabu hicho ? ?Serikali iwajibike. Serikali nayo iwekwe kwenye Kesi hiyo-hapendwi mtu.
tatu, Tukiondoa mapenzi, Chuki na sababu zingine zote za Kisiasa. Kesi hii inaweza kuwa na merit. Kuna hoja hapa.
I second
 
Back
Top Bottom