Uchaguzi 2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

Na walionyeshewa mvua kubwa kumsikiliza walibebwa kutoka Ushirombo?
 
Hahaha nani ataliamsha dude kule kanisani kwake?!

Gwajima alipaswa akagombee KOROMIJE jimbo letu hatutaki washamba wakisukuma.
Lakini walikuwa wengi kwa CCM, waliochukua form 170, wasukuma walikuwa 40, kumi bora 6.

Usiji sumbue kuwatenga wengi tutawahitaji tuu katika kutafuta ushindi. Huoni mbeba maono anangan'gania kwao kutafuta kura?
Wamejaa Mkoani Songwe, Morogoro Kusini Mashariki, Rukwa, Katavi, Tabora, Shinyanga, Geita, Mwanza,Simiyu, Mkoa wa Mara, Kagera-Muleba Kusini, Biharamulo, Kigoma Kusini , kupitia huko kuna kura karibu million 14.
 
Hapa kichwa kilipata moto sana
Your browser is not able to display this video.
 
Si msukuma mwenzie
 
 
Wasukuma washamba sana halafu ndio eti Kawe tumpe Gwajima?!

Hell no!, aende KOROMIJE kule kwa washamba wenzake.
 
Huyuhuyu Gwajima mjasilia dini , mchumia tumbo opportunist , mla kondoo , kwanini afanyiwe kampeni kubwa Sana Sana ? Wakati anakula kondoo alifanyiwa kampeni na nani ?
 
Gwajima ni hopeless na mweupe Sana kichwani, nitashangaa Wana kawe kumchagua
 
Gwajima ana bahati ya mtende.

Halima Mdee aanze kufungasha mizigo!
Jidanganye hilo li mchungaji feki tuna lifyekelea mbali sana Alisha sema kitambo uchungaji ni cheo kikubwa so kwangu Mimi simtaki kura yangu inaenda chadema bora iende huko kuliko kuumpa mnafiki mmoja
 
Mule mule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…