Uchaguzi 2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

Uchaguzi 2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.

Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba kura kwa ajili yake na kumuombea Gwajima pia.

Endapo Gwajima atashindwa mbele ya Halima Mdee basi namshauri aachane kabisa na siasa na nitamwomba Rais Magufuli amteue Pascal Mayalla kwenye zile nafasi zake 10.

Maendeleo hayana vyama!
Nireteeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndoto kufikiri Askofu Gwajima kukosa ubunge jimbo la Kawe.
Kampeni zinaendelea kwa nguvu kubwa ili kupata ushindi wa kura zaidi ya asilimia 70%+
 
Back
Top Bottom