Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

Mapenzi mengine bana utumwa utumwa tu. HHapo anatafuta sababu ya kukuacha. Alishakuchoka kilichokua kinambakiza ni tunda,keshakula kashiba mpaka kusaza.

Na huo ndio ukweli, shida yake alitaka kuona bikra inafananaje. Kaikosa basi kaanza visa kwa dizaini.
 
Yaan pale pale angeanza kusema hamna bikra hapa umenidanganya, ila kasubir kambinua kushoto kulia, mguu wa shingo mguu wa chaga halafu analalamika nin sasa?
Alisubiri apate utamu kwanza na pia aliogopa kumdisapoint mkuu maana angemueleza ingekua si vizuri
 
Alisubiri apate utamu kwanza na pia aliogopa kumdisapoint mkuu maana angemueleza ingekua si vizuri
ndio maana nkasema jamaa mjanja sana amekul kwanza mzgo ndio anakuja kudisapoint watu
 
Usichana ni wake au wa kwako binti? Rekebisha heading!
 
Jamaa muhuni sana aisee kala kwanza mzigo ndio kaja na swaga za no bikra,
Tatizo kamnyima siku nyingi akimuaminisha ni bikra. Sasa mwanaume anahisi wakati ananyimwa wengine walikuwa wanajilia vyao.
 
Naona mtu akijitoa taratibu damu ni kisingizio tu
 
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.

Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.

Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.

But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.

Naombeni ushauri wenu please.
Anakutengenezea mazingira ya kukuacha tu kwa kuwa ameshakutumia (kama kweli ulimtunzia huo usichana).
 
Saw,ajakukuta na bikra kwa hiyo ndo anaamuaje sasa,mapenzi ndo basi au..???[emoji50]em muulizee
 
Nashangaa kuona mpk kuna wanaume wenzangu mnatetea hpa. Ingekuwa nyie mngeamini kweli..??? Hapana aisee. Mimi binafsi nisingeamin mpk na ningesepa, au ningeendelea huku nikijiaminisha kwamb mimi sio wa kwanza kwake na wala hajanitunzia.

Kwanini damu isitoke bana..!!! Acha tu jamaa asepe kwa kweli, ila haiwezekani hata kitone cha damu kama ya mbu, eti kisionekane NEVER..!!

Nimependa wanawake wanaoonesha kushangaa kilichotokea. Safi sn...!! Wanaomtetea wamuulize vzr mwenzao.
 
Bikira kutoka si lazima damu itoke bhana... Wewe baki na ukweli wako... Kama hakuamini basi anayake ... Cha muhimu Ni amani.. Na bila uaminifu amani haitakuepo...ukiona hakuna amani basi you guys weren't meant to be
 
Kuna uzi humu wa operesheni ya kurudisha bikira labda aliusoma kabla hujampa kidude alipoona hamna damu akajua kauziwa mbuzi kwny gunia


Maana usikute aliogelea kbs wakat ww unadai ni bikira
 
Back
Top Bottom