Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Hongera kwa kujitunzaHapana nakiri kabisa kuwa sikuwa mtu wa hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kujitunzaHapana nakiri kabisa kuwa sikuwa mtu wa hivo
Kweli kabsa mbeleHapana nakiri kabisa kuwa sikuwa mtu wa hivo
Niaidi zawadi mkuuotea
Mkuu mbona unakuwa mkali?[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini damu haikutoka?
Tuanzie hapo kwanza
Kw iyo ata maumivu ukupata kabisa mama fursaHapana nakiri kabisa kuwa sikuwa mtu wa hivo
Mapenzi mengine bana utumwa utumwa tu. HHapo anatafuta sababu ya kukuacha. Alishakuchoka kilichokua kinambakiza ni tunda,keshakula kashiba mpaka kusaza.
Alisubiri apate utamu kwanza na pia aliogopa kumdisapoint mkuu maana angemueleza ingekua si vizuriYaan pale pale angeanza kusema hamna bikra hapa umenidanganya, ila kasubir kambinua kushoto kulia, mguu wa shingo mguu wa chaga halafu analalamika nin sasa?
ndio maana nkasema jamaa mjanja sana amekul kwanza mzgo ndio anakuja kudisapoint watuAlisubiri apate utamu kwanza na pia aliogopa kumdisapoint mkuu maana angemueleza ingekua si vizuri
Tatizo kamnyima siku nyingi akimuaminisha ni bikra. Sasa mwanaume anahisi wakati ananyimwa wengine walikuwa wanajilia vyao.Jamaa muhuni sana aisee kala kwanza mzigo ndio kaja na swaga za no bikra,
Anakutengenezea mazingira ya kukuacha tu kwa kuwa ameshakutumia (kama kweli ulimtunzia huo usichana).Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.
Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.
But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.
Naombeni ushauri wenu please.
ha ha ha ha kwahyo jamaa amefanya amalipizi ha ha ha haTatizo kamnyima siku nyingi akimuaminisha ni bikra. Sasa mwanaume anahisi wakati ananyimwa wengine walikuwa wanajilia vyao.