Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huyu jamaa na ICC ni kama pete na kidole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka ICC! We mtoto mkorofi sana[emoji3]
Hii kweli kabisa, lakini hao wanawake kufukuzwa ni mjadala mzitoKuna uwezekano hata wakifukuzwa uanachama ndugai akawalinda waendelee kihudhuria bungeni, ref yule mbunge alievuliwa ubunge lakini ndugai alimkingia kifua na aliendelea kuhudhuria bunge
Wacha Bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipumzike nini??
Unataka swali gani? Hoja gani? Hujui nini kinajadiliwa?Nipo sana, ama unadhani nitakimbia? Niko huku jukwaani karibia miaka 10 sasa. Lete hoja, swali au maoni kama unayo.
Bado unaendelea kuikubali chadema?Bahati mbaya sijawai hata kuwa mwanachama wa Chadema. Nilitokea kuikubali chadema kutokana na itikadi yake pamoja na kuwa na kadi ya ccm
Wa hivi ukifukua makaburi utakuta 2015 pia alitisha watu na ICJ. Wameshapoteza mwelekeo, ni maombi tu yanaweza kuwaokoa na huu udhalilishaji wanaojifanyiaHuyu jamaa na ICC ni kama pete na kidole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kila sehemu anatishia ICC ICC baada ya ile"Ni Yeye" kubuma.
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama.
Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.
Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wa hivi ukifukua makaburi utakuta 2015 pia alitisha watu na ICJ. Wameshapoteza mwelekeo, ni maombi tu yanaweza kuwaokoa na huu udhalilishaji wanaojifanyia
kigogo unatisha...nimekuheshimu Sana tangu leo..japo unatuingiza chaka saa zingine ila Kigogo weee balaa[emoji848]View attachment 1633816
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mliambiwa muandamane ili waingie bungeni mliandamana ? Acha wakale mema ya nchi ! Uchaguzi umekwisha !!!!
Kumbe Kile kibibi kizee ndio Kiboss ha haaaaNdani ya chadema hakuna mwenye uwezo wa kumfukuza mdee huyo ni mbowe mdogo
Nadhani Mnaelewa sasa kwanini watu waliwalia Buyu...Halafu hawa ndo walitaka watu waandamane kwa ajili yao.
Nani anatia huruma??? Mbona unawaongelea watu wakati wako sawa na wala hawana shida yeyote??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanaonaga kushabikia chadema ni ujanja kweli
Ona sasahivi wanavyotia huruma[emoji38]
Sasahivi ameweka matumaini yake huko ICC
Yaani jamaa analala anaamka yuko na ICC tu[emoji38]
Wacha bwana [emoji23]Ni wakati wenu huu wa kufurahi na kuongea kebehi zote. Ila kumbukeni tu kila jambo na wakati wake. Endeleeni kufurahi mkijua yameisha ila napenda tu kuwaambia kuwa mapambano ndo kwanza yanaanza.
Tunachofurahi ni kuwa mnazidi kutuondolea wanafiki na watu wanaojali matumbo yao wala si maslahi mapana ya watanzania.
Napenda kuwahakikishia, hakuna marefu yasio ya ncha. Wakati wenu wa kilio na kujuta upo na utafika.
Hamtaweza kuturubuni wote na wengine tutasimama kuwatetea kweli watanzania
Yesu wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani anatia huruma??? Mbona unawaongelea watu wakati wako sawa na wala hawana shida yeyote??