USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lord denning nimekumbuka habari ya petro

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sanaaa
BUSH BIN LADEN watu washaanza kukimbiana hapo
Dah, CCM mna masnitch wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heri sisi wengine tusiokuwa na kadi.

Ila huyu jamaa dah[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Yaani ananivunja mbavu zangu,nimecheka leo mimi.
 
Sawaa mkuu
ila imekua mpole gafla kaka
Hapana. Niko sawa kabisa. Kwenye mapambano ya kupigania kweli na haki mambo kama haya hayana budi kutokea. Uzuri I’m too matured and well equipped with exposure to be stressed by this.
Wasaliti lazima wawepo ili watanzania wajue kina nani wanawapigania kweli. Mapambano ya demokrasia ya kweli, utawala wa sheria na haki kamwe hayajawai kuwa rahisi
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama.

Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Tunapokuwa tunasema kuwa hakuna Upinzani Tanzania bali kuna Wanafiki tu muwe mnatuelewa. Usije Kushangaa hata huyo Lissu akaenda CCM.
 
Sijaona cha kushangaza hapo coz If you are unable to outdo rivals in some endeavour, you might as well cooperate with them and thereby possibly gain an advantage.
 
Serikali ni pana sana mkuu
Hawatackle problems kama unavyofikiria wewe
Hawaplan Mambo kama unavyoplan wewe

Wanajua nini wanafanya
Swala la ICC sio la kimzobe zobe tuu
Endelea kuamini unavyoamini na watu genuine tusiokuwa na unafiki wala tusiojali matumbo yetu tutaendelea kupambana kwa njia zote halali ili tupate matokeo chanya kwa mustakabali wa Tanzania bora ya kweli
 
Habari wakuu,
Kutokana na Duru za siasa zinavyoendelea nchini Tanzania, Hasa kwa upande wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Huenda Wabunge wa Viti Maalum kutoka Chadema Ambao Wameenda Bungeni Dodoma leo kwa ajili ya kuapishwa kuwa Wabunge wa Viti maalum, WAKAFUKUZWA ndani ya chama.

Hili Ni nalisema kwamba huenda isifike 2024 Viongozi wakuu wa Chama wakafanya maamuzi magumu. Na Hili linaweza Kuwapa credentials CHADEMA lkn kusiwe na faida ktk suala la ruzuku. Yaan itapungua kuliko wangekuwepo hawa kina Mdee na Wenzake.
Uwongo mtupu, walijadiliana na kukubaliana juzi, jana Mnyika kupeleka barua na wote kuondoka kuelekea Dodoma.
Michango imepandishwa kutoka 1,500,000 /= mpaka 2,500,000/= na wame sign barua.

Uongozi mzima wa Chadema wanajuwa na hata Lissu anayo habari ya hili tukio.
 
Kuwafukuza wabunge ambao wameshaahidiwa kulindwa na sipika kwa chama kilekile cha upinzani hata bila kujali kuwa chama husika kimewafuta uwanachama ni kupoteza muda bure.

Hoja ni kwamba je kama mgombea wa upinzani Tundulissu angeshinda katika nafasi ya urais halafu wabunge wa chama chake wote wakashindwa kwa kudhulumiwa kama ilivyofanyika angesusia kuwa rais kwa kuwa wabunge wa CHADEMA wote wamedhulumiwa ushindi?.
Hoja ya kijinga. Unajua kusoma na kuandika lakini hujui kufikiri.
 
Sijaaamini kama mdee anaweza kuwa msaliti kiasi hiko

Bora lissu amesepa zake

Chadema sijawaelewi Tena kwakweli unless otherwise

Daah wanawake mnaendela kutu prove mlivyo nyoka

Mtanisamehe sana mama zangu Ila huo ndio ukweli

Wanawake hamna chembe za uvumilivu ,majaribu madogo tu huwa mnapoteana sana hata kwenye mahusiano .

Aisee

Wanaume Ni mbwa Ila wanaweke Ni mbwa Koko [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama.

Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
CHAMA CHA SACCOS KILE KINA NJAA MKUU WALIKUWA WANAKULA RUZUKU KWA IDADI YA WABUNGE WANGEGOMA MNS HATA RUZUKU INGEKUWA HISTORIA NDIOMAANA SPIKA MJANJA KATOA DEADLINE ANGALIA WANAVYOAIBIKA KATIBU AMESAIN NA BARUA KWENDA BUNGENI HAKUNA MB AMEAPA BILA KUPOLELEWA BARUA YAKE JIULIZE WASANII HAWA
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Mkuu i appreciate passion yako ya opposition...

I can feel unsettlement unayopitia trying hard kutokubaliana na hii taarifa...

I assure you hapo hakuna cha hatua wala bibi yake na hatua itakayochukuliwa...

Mimi mwenyewe nilikuwa sapota mzuri tu wa upinzani, ila ndimi mbili ndizo zilizo nikimbiza...

Ogopa sana mtu wa ndimi mbili, leo anasema fulani fisadi kesho anasema sio, leo anasema hatambui uchaguzi kesho yupo bungeni, leo anasema hatopokea mapato ya uchaguzi uliojaa udhalimu kesho huyo kaenda kukinga bakuli.

Wanasiasa wa Tanzania kwa ujumla wao ni watu wa ndimi mbili...

Wanasiasa wa Tanzania ni wachumia tumbo waliojificha kwenye vyama kujaribu bahati zao...

Na kwa aina hii ya wanasiasa kutoa CCM na kuweka CDM ni yale yale, probably CCM ikawa afadhali.

Kuliko kuendelea kupiga kelele za chama fulani ndio kishike dola tuanze kupiga kelele juu ya namna gani tunaweza jenga kizazi cha viongozi wenye uchungu wa kweli na hii nchi.
 
Tunapokuwa tunasema kuwa hakuna Upinzani Tanzania bali kuna Wanafiki tu muwe mnatuelewa. Usije Kushangaa hata huyo Lissu akaenda CCM.
Hahahajajajaaaaaa umeonaampwaaa washenziwaleee

KATIBU kaweka MAJINA wakadukuliwa wakiogopa kuna MAJINA sio rafiki
GAFLA akayakataaa na ndiohapp wamelipa Jana aisee wanafiki sana

Na ndiooohawaaa wanapigakelele yulemama asiende Bungen KUMBE WANATAKA kwenda waooo pekee
 
Quote from Mario Vargas Llosa.

Nobel Laureate in Literature 2010.

Peruvian Presidential Candidate 1990.

On his experience transitioning from literature to politics.

"Now that I had become involved, I made a depressing discovery in these tripartite meetings: that real politics, not the kind that one reads and writes about, thinks about and imagines (the only sort I was acquainted with), but politics as lived and practiced day by day, has little to do with ideas, values, and imagination, with ideological visions—the ideal society we would like to create—and, to put it bluntly, little to do with generosity, solidarity, and idealism. It consists almost exclusively of maneuvers, intrigues, plots, paranoias, betrayals, a great deal of calculation, no little cynicism, and every variety of con game. Because what really gets the professional politician, whether of the center, the left, or the right, moving, what excites him and keeps him going is power, attaining it, remaining in it, or returning to it as soon as possible.

There are exceptions, of course, but they are just that: exceptions. Many politicians begin their careers impelled by altruistic sentiments—changing society, attaining justice, fostering development, bringing morality into public life. But along the way, in the petty, pedestrian practice of day-to-day politics, these fine objectives become, little by little, mere clichés of the speeches and statements of the public persona that they acquire, which in the end makes them all but indistinguishable from each other. What prevails in politicians, finally, is the gross and sometimes immeasurable appetite for power.

Anyone who is not capable of feeling this obsessive, almost physical attraction to power finds it nearly impossible to be a successful politician."

- Mario Vargas Llosa, "A Fish In The Water".
 
Huyo Lord denning ni mfuasi mtiifu wa Tundu yule kibaraka wa amstadam
Jamaa sijui ana undugu naye[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila sera anamuunga tu,alinikandia kwa kasi akasema wanarudisha mtu chato..
Ah ni yeye sasa ashaondoka zake,hata barabarani hawajaingia[emoji38]
 
Back
Top Bottom