USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Bahati mbaya sijawai hata kuwa mwanachama wa Chadema. Nilitokea kuikubali chadema kutokana na itikadi yake pamoja na kuwa na kadi ya ccm
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Lord denning nimekumbuka habari ya petro
Unasema hujawahi kuwa nani? Mkuu unakoelekea utaongea mambo ya kujidhalilisha bora upumzishe kwanza akili.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sanaaa
BUSH BIN LADEN watu washaanza kukimbiana hapo
 
Mimi ni mpenzi wa Chadema, sio mwanachama wa Chadema. Mimi ni mfuasi wa sera za Chadema na sio mwanachama wa Chadema. Mwanachama wa Chadema ni mtu mwenye kadi ya Chadema anayolipia. Mie Sina kadi ya Chadema na wala sijawai kuwa nayo
Leo unawakana??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani
 
Acheni kunifanya nicheke eti nini ? kaka wa ICC ?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lord denning
Huyu jamaa namkumbuka vizuri sana kuna uzi nilishakutana naye kabla ya uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baada ya uchaguzi naona nyimbo zake za ICC utadhani hao ICC Wanaenda kutunyonga..leo Anasemaje [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji119]
 
* Ni kweli anaijua siasa au mkumbo tu??
*Ana uhakika yuko dhamira moja na anaowaamini??
*Siasa na harakati zinakaaje pamoja??
*Je tunawajua vizuri hao tunaowaamini???
*Ni kweli tulikuwa tunawaza vyema kwamba huu ndio wakati wa ukombozi?

Asalaam mabibi na mabwana,niko mbele yenu kuwakumbusha hayo machache juu.mimi mwenyewe sina majibu,niliishajiuliza nikaona ni heri nigeukie mambo yangu binafsi maana ninachokiona si halisi kilivyo.

Kila mmoja na atafakari na kuchukua hatu,ataijua kweli nayo itamuweka viwanja huru.asanteni.
Alivyoambiwa muandamane mliandamana?

Si mliwapotezea, sasa nao wamewapotezea mnaanza kulia lia..

Mitanzania ni mijinga na mibinafsi mno.. Wacha wakale posho, au mnataka mfanane nao maisha then muanze kuwacheka!!
 
Huyu jamaa namkumbuka vizuri sana kuna uzi nilishakutana naye kabla ya uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baada ya uchaguzi naona nyimbo zake za ICC utadhani hao ICC Wanaenda kutunyonga..leo Anasemaje [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji119]
Kwa iyo unaamini kina Mdee kuapa kuwa wabunge ndo suala la Icc limekufa??? Utasubiri sana!!
 
Sijawakana. Mimi ni mfuasi na mpenzi wa Chadema. Sio mwanachama wa Chadema.

Naaamini umeenda shule na una uelewa wa kujua tofauti
Shule mimi sijaenda Wewe
Umeshasahau hili Mara hii[emoji1787]ushasahau uliniita kilaza..Sasa kilaza ataelewa vipi??
Embu toa ufafanuzi kaka ICC.
 
Kwa iyo unaamini kina Mdee kuapa kuwa wabunge ndo suala la Icc limekufa??? Utasubiri sana!!
Serikali ni pana sana mkuu
Hawatackle problems kama unavyofikiria wewe
Hawaplan Mambo kama unavyoplan wewe

Wanajua nini wanafanya
Swala la ICC sio la kimzobe zobe tuu
 
Back
Top Bottom