USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Bado tu akili haziwarudii tuu? Mdee ni kiongozi mkubwa ndani ya saccos iweje mnyika asijue kinachotokea? Wanawaona nyie nyumbu tuu ndo maana wanaropoka wanavyotaka kwa kujua hamna akili za kufikiria.
 
Hili lichama na mbowe haliishiwa vituko!

Hahahahaaaa
 
Lissu, Lema na Amsedani wamepigwa tobo. Lissu taratibu atajiona jinsi alivyo mjinga kuoayuka payuka bila akili matojeo yake ndio haya.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Madam unapamabana sana, wenzio wanakuzomea kisogoni.

Ndio maana huwa nawashauri vijana waache kuwapambania hawa wanasiasa. Ni nyoka hatari sana.

Leo unavunjwa mguu na askari Kwa ajili ya mdee, kesho kutwa unamkuta anaapa bungeni kinyemela. Kajikausha kama bundi.

Ohoooooo! shaurilo!
 
Hawafukuzwi hao wataendelea na ubunge,we unafikiri Mbowe hajui kinachoendelea? Hiyo imeisha tayari.
 
Hawa wapumbavu waoga wa maisha watimuliwe wote! Ila Mimi naona tatizo lipo kwa mdee na Bulaya, kwani wangekaa miaka mitano wasingeishi? Gademiti
 
Unasema hujawahi kuwa nani? Mkuu unakoelekea utaongea mambo ya kujidhalilisha bora upumzishe kwanza akili.
Mimi ni mpenzi wa Chadema, sio mwanachama wa Chadema. Mimi ni mfuasi wa sera za Chadema na sio mwanachama wa Chadema. Mwanachama wa Chadema ni mtu mwenye kadi ya Chadema anayolipia. Mie Sina kadi ya Chadema na wala sijawahi kuwa nayo
 
Bahati mbaya sijawai hata kuwa mwanachama wa Chadema. Nilitokea kuikubali chadema kutokana na itikadi yake pamoja na kuwa na kadi ya ccm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Pamoja na kuwa na kadi ya CCM"
 
Hawa wapumbavu waoga wa maisha watimuliwe wote! Ila Mimi naona tatizo lipo kwa mdee na Bulaya, kwani wangekaa miaka mitano wasingeishi? Gademiti
Unayasema hayo coz upo nyuma ya keyboard,ingia field tujue
 
Wakifikuzwa Chadema,Ndugai atawakatua Rufaa ili waendelee kuwemo Bungeni ,Kama alivyofanya kwa kina Silinde.
 
Back
Top Bottom