USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Watakuwa wanawasilisha hoja za chama gani??
 
Wacha bwana [emoji23]
Leo halima amekuwa si kamanda tena?[emoji1787]
Tena mkiwafukuza tu, chama kinawafia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukamanda unaonekana wakati wa shida. Kama mtu aliyedhulumiwa ushindi wake wa halali na amekubali kwenda kuuza utu wake kwa vipande vya fedha huyu hafai kwenye mapambano
 
Sasa hamna wapiga kura, hamna wanachama, na hamna wanawake pia maana mmeachwa teheteheee
Umebaki wewe lema na Tundu tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mliambiwa wakat wewe ni mfuasI mmoja wapo !Sema tuliambiwa, waliambiwa akina Nani ?

Hivi Mbona watu wanakataa humu kulikoni
Usinihusishe na vitu vya ajabu, nipo CCM kwa maslahi binafsi na nchi yangu !
Pole kwa frustrations kamanda 😀
 
Mwl nyerere alituwekea mifumo migumu sana wakati anaazisha mfumo wa vyama vingi nchi ina mifumo migumu sana big up TISS japo watu wanasema hamfanyi kazi linapokuja swala la usalama wa nchi hii hakuna utani
 
Sasa hamna wapiga kura, hamna wanachama, na hamna wanawake pia maana mmeachwa teheteheee
Umebaki wewe lema na Tundu tuu
Hatuna hao wote Ila tuna Watanzania mamilioni wenye kiu ya Haki na Kweli. Wenye maono ya Tanzania bora yenye maendeleo ya kweli ya watu, ustawi bora wa maisha yao na demokrasia pana inayowawezesha kuishi vizuri kwa uhuru na amani.
 
Kuna uwezekano hata wakifukuzwa uanachama ndugai akawalinda waendelee kihudhuria bungeni, ref yule mbunge alievuliwa ubunge lakini ndugai alimkingia kifua na aliendelea kuhudhuria bunge

Hawa ni wa kufukuza wakawe wa CCM kabsaaa!
 
Ukamanda unaonekana wakati wa shida. Kama mtu aliyedhulumiwa ushindi wake wa halali na amekubali kwenda kuuza utu wake kwa vipande vya fedha huyu hafai kwenye mapambano
Una hakika na hilo??
Mbona alikimbilia kuwasha Moto bag??
Tutajuaje kama ni kweli wakati alitia kiberiti??
Na nyie mnaamini??ndiyo maana wanasemaga chama Cha Nyumbu.

Leo mnamuona sio kamanda Tena[emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Big up TISS kwa nini??? Wamefanikisha nini kwa usalama wa nchi??
Mwl nyerere alituwekea mifumo migumu sana wakati anaazisha mfumo wa vyama vingi nchi ina mifumo migumu sana big up TISS japo watu wanasema hamfanyi kazi linapokuja swala la usalama wa nchi hii hakuna utani
 
Kwani halima ndo wananchi walioshuhudia mauaji??
Halima keshasema hakukua na mauaji ila kulikua na maandalizi ya kulipua mali na kuua askari
If you know you know🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwl nyerere alituwekea mifumo migumu sana wakati anaazisha mfumo wa vyama vingi nchi ina mifumo migumu sana big up TISS japo watu wanasema hamfanyi kazi linapokuja swala la usalama wa nchi hii hakuna utani
Haina kufeli💥👏
 
Icc is for real Mama. Huo sio utani
Sawa kaka ICC
Kila la heri
Wewe na kaka yako"ni yeye" pamoja na mjomba wenu Amsterdam mtatupa mrejesho.
Usisahau kunitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakwambiaje hata siku moja traitors hawajawai kufifisha mapambano genuine ya haki
 
Harakati kazi ngumu wengi wanakimbia tuliobaki tumekamia njia ngumu tunayopitia - Kalapina
Tatizo njaa-Hashim Rungwe
Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa- Afande Sele.
Usiweke Maagano na Masikini/Mwenye Njaa - Askofu Maboya.
 
Sasa hamna wapiga kura, hamna wanachama, na hamna wanawake pia maana mmeachwa teheteheee
Umebaki wewe lema na Tundu tuu
Wanataka kumfukuza na mwenye sacos yake (mbowe)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sa itakuwaje[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…