USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

MMELEWAA KWANN WATANZANIA WALIACHANA NA KUPIGA KURA WALIJUA UJINGA WAO WAKACHOKAA NA HAPO NDIPO TULIOJIANDIKISHA TUKAMALIZA MAPEMAA MAPEMAAAAAA
 
Hii miaka 5 ni migumu sana kwa wanasiasa wote na nchi kwa ujumla.

Kuna hesabu zimekosewa na jibu limeandikwa kwa wino.. ingekua penseli tungefuta tuandike upya.

Serikali ina wasiwasi, wabunge wanawasiwasi, waoinzani wana wasiwasi, wananchi nao wasiwasi.. wote hatujui kesho.

Kuna vitu vingi sana vitakufa.
 
🤣🤣🤣🤣

Hallima Mdee ni inner member wa ELITE CIRCLE TEAM ya CHADEMA tena kwa viapo VIKALI kama wale wafuasi wa ENCARTA COSTRA NOSTRA.....

Huyo HAFUKUZWI...
Huyo HAFUKUZIKI....
 
 
Kama kuna waliopoteza kazi serikalini kwa sababu ya chama basi hao watu hawana akili na wew ukiwemo.
 
NGO IMEWAZAA WEEEEE IDADI YENYEWE MMOJ NA RUZUKUU BDIE HIVYO NGOJA WAENDE TU WATOTO WALE UJI CHEZEAA WEWE...CHAMA CCM TU EENGINE NGOS
 
Chademaaaaaa oyeeeeeeee[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Maendeleo hayana chama.....
Naona leo chama cha mapoyyo wa matusi leo nyuzi nyingi mnalialia tu humu[emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu anatetea ugali wake.

Magufuri oyeeeeeee.
Kidumu chama tawala.
Zidumu fikra za Magu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#wamelegea wenyewe.
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja...
Wamfukuze na yule malaya wa Sumbawanga
 
IMEISHAAAAAHIOOOO HAHAHAAAAAAA JANÀ NIMEKUNYWA DOMPO MBILI ZA KUCHEKA TU
NILIPOSIKIA
MM HALIMA MDEE NAAPA NITAKUWA

WATUUU WEWEEEEWEEEEWEEEEEWW
SIRIYENU NA HATA HUYOO KATIBU WAO ALIEKANA HAJYUI MAJINA ALIKUWA DODOMA BAADAYA KIAPO

SIASA MCHEZOMCHAFU KAMA PENALTI YA NAMUNGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…