USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Wamfukuze na yule malaya wa Sumbawanga

Ha ha ha wakaSKAZ mmepamba moto.

Bosi wa chama bado hajaamua so tulieni.

Note:Umalaya ni mtu na mtuye anaweza kuwa baba yako mama yako wewe hata mumeo pia.

Hivyo tulieni tusikie kauli ya MH. MBOWE.
 
sasa ccm haitoki madarakani mpaka 2100

Mkuu wananchi wakiamua kuiondoa itaondoka hata kwa mawe tu bila bunduki.

Hivyo msijipe matumaini ya kidkitecta ila CCM haitaondolewa na SACCOS ZA KUPIGIA DILI KUPITIA SIASA.
 
Na. Kama wanabaraka za chama utasemaje..!?
 
Mkuu wananchi wakiamua kuiondoa itaondoka hata kwa mawe tu bila bunduki.

Hivyo msijipe matumaini ya kidkitecta ila CCM haitaondolewa na SACCOS ZA KUPIGIA DILI KUPITIA SIASA.

ccm inapendwa na wananchi bro, pale ccm itakua imetumbukia they are very quick to make changes! ndo maaana hata mkiambiwa muandamane mnabaki wenyewe, kwa kifupi mnachopigania ni uongo na upuuzi tu, kamalizia degree yako cheti cha form 2 hakitakusaidia chochote
 

Nguvu wanayotumia CCM kipindi cha harakati za kampeni wangezitumia nyakati zote za madaraka yao hakika kila mtanzania angekuwa TAJIRI.

Hata hivyo umetumia kipimo gani ili kujua watu wanaipenda CCM?
 
Weka documents za risiti
 
Ulifukuzwa kwa kutofata sheria kwako! Wenzako wanatimiza takwa la kikatiba! wewe ni wa BAWACHA?
 
Kumbe bado upo? Mimi nilidhani wewe saa hizi ungekuwa umeshakunywa sumu na kupumzika in peace![emoji28]

Kama aliondoka Slaa na sikunywa sumu, itakuwa hao wamama walioko bado cdm bila misimamo?
 
Uchaguzi umeisha. Tuunganishe nguvu kama taifa bila kujali vyama. Baada ya Mh.Halima Mdee na wenzake kuapishwa, ingependeza kesi zote dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani zifutwe na nchi ianze upya , hata ikionekana inafaa wabunge hawa wapewe nafasi za uongozi serikalini. Haitakuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo baadala ya kufikiria "kufukuzana" katika vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…